Madudu uchaguzi TFF: Wagombea nafasi ya urais wamekosa wadhamini

Oscar Oscar, Ally Mayay kukosa wadhamini ni uzembe. Hao ni wadau wa mpira wanaojulikana Tanzania nzima wanakosaje halafu mmama yule hata hajulikani
 
Oscar Oscar, Ally Mayay kukosa wadhamini ni uzembe. Hao ni wadau wa mpira wanaojulikana Tanzania nzima wanakosaje halafu mmama yule hata hajulikani
Wamepigwa zengwe la kutosha huyo demu kawekwa geresha tu ionekane democracy ilitumika
 
Hebu tuachane na waliokosa wajumbe, hv sifa ya kuwa mjumbe ni ipi? Coz naona Kuna vinafasi vya kujipigia pesa kizembe sana
 
Fomu za udhamini zimeanza kutoka tareh 8.June,2021 lakini Karia alishapata wadhamini na wamejaza tarehe 6.june.2021 na ndio malalamiko ya waliokosa udhamini na kutolewa katika nafasi kuwania kiti hiko.

"Tarimba mimi nashangaa sana watu wanasema na kazi nyingi , nafasi yangu pale SportPesa na Ubunge hivi ni vyeo tu kanuni hainizuii, ingawa sikutaka kugombea ili nilikua nawapima tu na wote mmeona walivopata shock, leo unawakata wagombea majina ili ugombee na watu dhaifu tu" Abbas Tarimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…