kwenye jukwaa la siasa kuna uzi unaosomeka: "Mitihani ya Big Results Now ni Big Failure Now". Katika uzi huo, maswali ya mitihani ya Darasa la saba iliyofanyika Julai katika utaratibu wa BRN yamewekwa. Nimepitia nikaona tulipo sasa naweza kusema R.I.P elimu yetu.
Maswali yana makosa na mengi hayafanyiki lakini ndiyo yametungwa na watalaamu wa hali ya juu mpaka na jopo la watu kutoka nje. Hebu walimu ambao shule zenu hazikufanya mtihani someni maswali hayo yako Jukwaa la siasa halafu tuwaulize hao wanaotunyanyasa kila siku kwamba walimu ni tatizo, je waliotunga maswali ya BRN siyo tatizo?