Askari wa miguu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 344
- 124
siyo huyo tu,,,,sasa naanza kuamini product za mzumbe nazo feki,,,kuna mfanyakazi mwenzangu mmoja,asubuhi na mapema unamkuta kavaa sunglasses,anaenda ofisini,hamna hata jua.alafu mchana mida ya lunch namkuta amezivua...Mzumbe vijimambo 2pu
Tumia akili wewe acha kutumia masaburi, mambo ya kuvaa sunglasses cjui asubuhi au ucku wakati hamna jua kali ni lifestyle ya mtu na ulimbukeni wake hafundishwi chuoni wala hupaswi kuhusianisha na Mzumbe yetu!
Mbona wadau kibao tu tunakutana nao mwenge wametoka UD campus Hall 5 kavaa yeboyebo ambavyo naamini ni viatu vya chooni hupaswi kuja navyo ol tha way mpaka mwenge kama una akili zako timamu! Ucje ukatumia mistake ya m2 mmoja kuzungumzia Umma wote wa mzumbe thatz a grave mistake kwa mtoa uzi nahc akili alizipeleka likizo for a moment alikurupuka, hapa ni kuanzisha tu battle ya vyuo na hzo ni debate ziczo za msingi na manufaa jamvini.
Mwisho wa cku muanzisha uzi utakua umeajiriwa kwa kimemo hujui ethics za kazi pumbavu!