Madudu ya wahitimu vyuo vikuu.

Madudu ya wahitimu vyuo vikuu.

siyo huyo tu,,,,sasa naanza kuamini product za mzumbe nazo feki,,,kuna mfanyakazi mwenzangu mmoja,asubuhi na mapema unamkuta kavaa sunglasses,anaenda ofisini,hamna hata jua.alafu mchana mida ya lunch namkuta amezivua...Mzumbe vijimambo 2pu

Tumia akili wewe acha kutumia masaburi, mambo ya kuvaa sunglasses cjui asubuhi au ucku wakati hamna jua kali ni lifestyle ya mtu na ulimbukeni wake hafundishwi chuoni wala hupaswi kuhusianisha na Mzumbe yetu!
Mbona wadau kibao tu tunakutana nao mwenge wametoka UD campus Hall 5 kavaa yeboyebo ambavyo naamini ni viatu vya chooni hupaswi kuja navyo ol tha way mpaka mwenge kama una akili zako timamu! Ucje ukatumia mistake ya m2 mmoja kuzungumzia Umma wote wa mzumbe thatz a grave mistake kwa mtoa uzi nahc akili alizipeleka likizo for a moment alikurupuka, hapa ni kuanzisha tu battle ya vyuo na hzo ni debate ziczo za msingi na manufaa jamvini.
Mwisho wa cku muanzisha uzi utakua umeajiriwa kwa kimemo hujui ethics za kazi pumbavu!
 
bora huyo aliyekosea grammer kuliko wewe unayetoa mambo ya ofisi nje! hivi maadili ya kazi siku hizi mbona ni hovyo sana? hauna tofauti na yule anayetoa siri za ndani (unasema mambo ya mpz wako hadharani)
kweli wewe ulipewa nafasi kwa bahati mbaya

upo sahihi mkuu kuna haja ya kuangalia suala la maaadil kazini kwa upana wake haiwezekan mtu na akili zake halafu ni afisa anaanzisha uzi kwa kutoa siri za ofisi halafu kitu chenyewe ni suala la lugha ambayo siyo lugha ambayo siyo lugha yetu kuu ya mawasiliano mbona tunakuwa watumwa kiasi hicho kiuhalisia muanzisha uzi kaonyesha jinsi alivyo mtumwa wa lugha japokuwa yeye anaona kujua english ndio usomi.
 
Tumia akili wewe acha kutumia masaburi, mambo ya kuvaa sunglasses cjui asubuhi au ucku wakati hamna jua kali ni lifestyle ya mtu na ulimbukeni wake hafundishwi chuoni wala hupaswi kuhusianisha na Mzumbe yetu!
Mbona wadau kibao tu tunakutana nao mwenge wametoka UD campus Hall 5 kavaa yeboyebo ambavyo naamini ni viatu vya chooni hupaswi kuja navyo ol tha way mpaka mwenge kama una akili zako timamu! Ucje ukatumia mistake ya m2 mmoja kuzungumzia Umma wote wa mzumbe thatz a grave mistake kwa mtoa uzi nahc akili alizipeleka likizo for a moment alikurupuka, hapa ni kuanzisha tu battle ya vyuo na hzo ni debate ziczo za msingi na manufaa jamvini.
Mwisho wa cku muanzisha uzi utakua umeajiriwa kwa kimemo hujui ethics za kazi pumbavu!

isiwe ugomvi basi...........
 
siyo huyo tu,,,,sasa naanza kuamini product za mzumbe nazo feki,,,kuna mfanyakazi mwenzangu mmoja,asubuhi na mapema unamkuta kavaa sunglasses,anaenda ofisini,hamna hata jua.alafu mchana mida ya lunch namkuta amezivua...Mzumbe vijimambo 2pu

hayo siyo matatizo ya chuo hayo ni matatizo binafsi.
 
Acha unafiki..wajuzi wapi hao...
kutojua kingereza haitokani na chuo alicho soma
kingereza angejifunza sekondari na si chuoni
Tatizo ni elimu ya primary mpaka sekondari
chuoni hatujifunzi kingereza tunatafuta taaluma.ef Accounts,finance..ukitaka kujua jamaamkali mpeleke kunako Aaccounting au Finance..hakika wewe mtoa mada huto ambulia kitu kwa sababu may be wewe umw soma B.A.Linguistics na hujui chochote zaidi ya kingereza.
usikiukumu chuo kwa makosa ya mtu mmoja
may be wewe ni mhitimu wa chuo kikongwa cha udsm...je udsm wahitimu wake wote wapo vizuri? kuna vilaza wengi tu na tupo naomakazini huku....
 
Re: Maduu ya wahitimu vyuo vikuu.

unajua ukitaka kukosoa na wewe uwe smart, sasa angalia title ya post yako, hapo nilipo bold ulimaanisha nini?
anyways its "slip of pen" bana
afterall huyo mtu kasoma accounting and finance, hajasoma english
kumbuka pia hiyo ni third laguage kwake, so nothing wrong

Nawewe hapo katika red unasemaje sasa? wote wa Mzumbe hakuna kitu, usibishe. Mzumbe ilikuwa zamani siyo ya sasa...
 
aiseeeeeee babaangu watanzania wengi hatujui kuandika kingereza
 
Wachina wanaendelea kwa kutumia lugha yao, sisi tunakomaa na lugha za wenzetu tu, sisi tumebaki kuchekana kwa lugha ambazo sio zetu.... hata inapotokea unajifunza kuongea mpaka unaogopa kuongea mbele za watu kuofia ukikosea utachekwa, na hii ni moja ya sababu ya kufanya wengi wasijuwe kiiengereza...

Usitegemee ukajifunzie english chuoni, ukichesha form 1 hadi 3 imekula kwako..huko mbele unakutana na maneno ya kiingerza na sio kujifunza moja kwa moja labda uwe unasoma language
 
Nawewe hapo katika red unasemaje sasa? wote wa Mzumbe hakuna kitu, usibishe. Mzumbe ilikuwa zamani siyo ya sasa...

Wewe wa chuo gani? Ndio nyie mnaotegemea jina la chuo wakati vilaza ab-initio yan si ajabu hujawahi kufaulu ukanizidi tangu chekechea! Wewe muhitimu mimi mwajiriwa tena kwa cheti hikihiki cha Mzumbe, hzi views binafsi hazibadilishi ukweli kamwe kwanza hongera kwa ku utilize haki yako kikatiba kutoa maoni hata kama mashudu!
 
Barua ya mhitimu Mzumbe University imeibua vicheko visivyo na mwisho kwenye idara ya utumishi hapa ofisini.

...........nawaibia kidogo tu!

"....... I has a bachelar in accounts and finance...."

Kwa taarifa yako nimesoma Marekani,enzi hizo na nimefundishwa na Prof. Mhindi kalasinga hajui kiingereza anabofoa tu lakini ni Prof tena Marekani sembuse huyu wa kwetu tena mhitimu wa juzi Mzumbe ,msamehe bure siyo kosa lake ni mfumo mbovu tu wa elimu yetu.
 
Well said,sielewi hata anamcheka mwenzie kwa lipi,stupid!!
bora huyo aliyekosea grammer kuliko wewe unayetoa mambo ya ofisi nje! hivi maadili ya kazi siku hizi mbona ni hovyo sana? hauna tofauti na yule anayetoa siri za ndani (unasema mambo ya mpz wako hadharani)
kweli wewe ulipewa nafasi kwa bahati mbaya
 
Mimi sijaona kosa kwani alikwenda kusomea English Course Chuo kikuu? After all you are not supposed to disclose it to the public, if you think he/she does not qualify in the preliminary requirements, then select another one
 
Ebu tuangalie hawa majaji wanaoandika hukumu na kiingereza cha hovyo. Wanaweza kuwa wamehitimu hapo si unajua wanatoa na digrii za sheria pia
 
Mzumbe ni chuo cha tarafa.Bado hujaona ya kile chuo cha kata DODOMA ambacho ukiingia getini tu unakutana na mnara wa CCM.Unategemea wahitimu wake watakua na tofauti na ccm??.Hili ni janga tunahitaji kulijadili kwa upana wake

mnara wa ccm ulikuepo mda sana kabla hata chuo hakijajengwa, ndo shida ya seli za makalio kuhamia kichwani! Fikiria bhana!
 
Barua ya mhitimu Mzumbe University imeibua vicheko visivyo na mwisho kwenye idara ya utumishi hapa ofisini.

...........nawaibia kidogo tu!

"....... I has a bachelar in accounts and finance...."

kingereza n lugha km lugha zngne kna ugumu wake.by the way cdhan km n kigezo cha yeye kukosa kazi coz performance ndio mpango mzima.hata wenzetu wa mataifa mengine hawajui hii lugha.nliwahi kufanya kaz na mzungu mmoja wa uholanzi,jamaa anaongea kingereza as if amelazimishwa yaani kibovu mpaka mbaya.anakuboa mwanzo mwisho ila anajua sana anachokifanya. Juz bungeni pia walijadili sana vitu km hivi watanzania tubadilike haswa waajiri angalien mtu kwa vigezo vngne na sio kingereza.
 
Barua ya mhitimu Mzumbe University imeibua vicheko visivyo na mwisho kwenye idara ya utumishi hapa ofisini.

...........nawaibia kidogo tu!

"....... I has a bachelar in accounts and finance...."

we jamaa utakuwa mbea sana..na inaonekana kila cku huwa unasutwa c ofisin tu hata huko unapoishi...na kazi yenyewe utakuwa umebebwa tu na m2 coz huna cfa za kuwa mfanyakaz ofsn,kwan english ndo ina dr na cr? badilika tofautisha profesional za watu cha umbea mkubwa ww...
 
Back
Top Bottom