Maduka gani wanauza fire extinguisher kwa bei za jumla jijini Mwanza?

luhuye

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2017
Posts
289
Reaction score
253
Naomba anaefaham maduka yanayo uza FIRE EXTINGUISHER kwa bei za jumla huku mwanza anisaidie asante
 
Nenda ofisi ya Zimamoto wataku-link na maduka ambayo yanauza bidhaa original na za size tofauti tofauti maana maduka mengi wanauza kutokana na mahitaji husika yaani mengi yanauza hizi za magari kwa kuwa ndizo zinatoka kwa kuwa ni mahitaji ya kisheria mmilki wa gari kuwa na kifaa cha zimamoto
 
Unatarajia nyumba yako kuungua kwa moto wa aina gani?

1. Kila aina yo moto ina extinguisher yake togfauti mfano moto wa gass huzimwa kwa.......

2. Moto wa petrol huzimwa kwa.....................

3. Usiende kununua madude mekundu tuu na kuwaninginiza nyumbani/ ofisini ukadhani ndio upo salama saaana? kuna zingine za blue, zingine za powder, zingine za povu zote kila moja na kazi yake ila wabongo tumezoea mitungi mwekundu tuu kama sehemu ya kuremba ofisi
 
Ni kweli mkuu mimi nahitaji DRY CHIMICAL POWDER
 
Kwa walioko mwanza wanielekeze sehemu ambapo naweza patackazi yoyote ile isiyozingatia elimu
 
Back
Top Bottom