Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Wanakwambia IPHONe Mpya ndani ya BoxHii ni kweli kabisa mkuu. Halafu wabongo ni rahisi kukubambikia bidhaa feki au iliyoisha muda kuliko wahindi au wachina. Mhindi au mchina atakuambia ukweli ili uchague mwnyewe, sio mbongo. Wabongo ni mbwa!