GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,007
- 5,290
Wadau habari za usiku,
Naomba kuuliza yalipo maduka ya jumla Dar es Salaam yanayo uza vifaa kama vile vitasa, kalamala (galamala), miko ya ujezi, pima maji, makomeo, makufuli aina mbali mbali, kamba manila za ujezi na manila kubwa zinazo tumika kufungia ng'ombe e. t.c.
Natanguliza shukrani