Asante Sana Mkuu.. Lazima Shinyanga tu, Dar Hakuna upatikanaji wake?Nenda Shinyanga....hasa sehemu moja inaitwa Maganzo.
Dar kwa special order ,mtu anaweza kuja nazo toka huko Shinyanga.kuna mwaka niliwai pata msaouzi Africa alikuja hapa Dar...ila Biashara tulifanyia SEAMIC Kule Kunduchi. Baada ya kupimwa hayo mawe na kujiridhisha kuwa sio vipande vya chupa🤣🤣🤣Asante Sana Mkuu.. Lazima shinyanga tu, Dar Hakuna upatikanaji wake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, Asante Mkuu. So lazima niende Shinyanga.Dar Kuna maduka ya Vito vya almasi.ukitaka almasi isiyochongwa ni Shinyanga huko maganzo n.k.
Hapa Dar Kama unataka kuuziwa vipande vya chupa karibu.
Kwa Dar sina uhakika....Ila shinyanga hasa Maganzo Nina uhakika ila nyingi zinakuwa bado hazijachongwa....sio lazima uende....mnaweza mkafanya mawasiliano nao...wao wakakufuata ulipo...ila inabidi uwe makini sana kwenye biashara ya madini...la sivyo utanunua hata chupa.Asante Sana Mkuu.. Lazima shinyanga tu, Dar Hakuna upatikanaji wake?
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁Naona Mtoa Uzi..anaji-jibu mwenyewe kwenye Uzi...anatafutwa Ng'ombe
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wengine mmeumbwa Kuwa Negative tu. Nini maana ya hii forum Kama unadhani Kila mtu anayeuliza kitu Ni tapeli??? For your Information nimeshasaidiwa na waliowaelewaNaona Mtoa Uzi..anaji-jibu mwenyewe kwenye Uzi...anatafutwa Ng'ombe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha.. ng'ombe wa kukamua eeh?Naona Mtoa Uzi..anaji-jibu mwenyewe kwenye Uzi...anatafutwa Ng'ombe
Sent using Jamii Forums mobile app