MKEHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 716
- 1,143
Kuna ongezeko kubwa sana la wenye maduka ya spea za magari na pikipiki kuwa gereji bubu huku mitaani.
Sijui NEMC hawaoni hili kuwa tatizo sugu mbeleni. Uchafu wa oil na mafuta ya motokaa umekuwa kama suala la kawaida mitaani kila sehemu.
Mpaka viumbe wa majini kama samaki, vyura na wengine watapotea Kwa uzembe wetu. Udongo nao umeanza kuwa mweusi kila mahali.
Siku si nyingi mitaani kutakuwa na land degradation ya kufa mtu, hata mimea tuliozoe mitaani itatoweka kuirudisha itakuwa kwa gharama sana.
Shime kwa mamlaka za nchi tuzibe ufa kabla ya kujenga nyumba mpya kwa gharama kubwa sana