Haya ndo madhara ya kusome degree za environment science na kukosa ajira.......Kuna ongezeko kubwa sana la wenye maduka ya speak za magari na pikipiki kuwa gereji bubu huku mitaani. Sijui NEMC hawaoni hili kuwa tatizo sugu mbeleni. Uchafu wa oil na mafuta ya motokaa umekuwa kama suala la kawaida mitaani kila sehemu. Mpaka viumbe wa majini kama samaki, vyura na wengine watapotea Kwa uzembe wetu. Udongo nao umeanza kuwa mweusi kila mahali. Siku si nyingi mitaani kutakuwa na land degradation ya kufa mtu, hata mimea tuliozoe mitaani itatoweka kuirudisha itakuwa kwa gharama sana. Shime kwa mamlaka za nchi tuzibe ufa kabla ya kujenga nyumba mpya kwa gharama kubwa sana
Mbona kaongea fact mwenzakoHaya ndo madhara ya kusome degree za environment science na kukosa ajira.......
Haya ndo madhara ya kusome degree za environment science na kukosa ajira.......
Anataka tusipate hela ba viosk vyetu vya spearHaya ndo madhara ya kusome degree za environment science na kukosa ajira.......
We unafikiri hamna ecosystems za kusafisha aridhi na na ku-purify maji machafu naturally anafikiri Oil imeanza kutimika jana au is just misallocating his academic materials due to lack of employmentMbona kaongea fact mwenzako
Oaa weee ngoja nile kwanza..We unafikiri hamna ecosystems za kusafisha aridhi na na ku-purify maji machafu naturally anafikiri Oil imeanza kutimika jana au is just misallocating his academic materials due to lack of employment
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]mkuu siko tayari kubishana na mtu, mimi hoja yangu ni kwamba Yanga itaweza kuingia robo fainali ya kilabu bingwaOaa weee ngoja nile kwanza..
Nakuja kubishana na wewe sio mda
Ngoja nimalize kula kwanza maana umenikera 😬😬😬😬[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]mkuu siko tayari kubishana na mtu, mimi hoja yangu ni kwamba Yanga itaweza kuingia robo fainali ya kilabu bingwa