Maduka ya Uchumi walipofunga TZ, mlishabikia sana humu, sasa na hawa wengine mnawacheka?


Huyo utapoteza muda wako bure, alishakaririshwa pale Lumumba street office za CCM kwamba ndio wimbo wa kuwaimbia Watanzania humu, eti Kenya uchumi umeanguka. Yaani wakiimba hivyo na kuwakaririsha Watanzania wengine, wataacha kuhojiwa madudu kwenye nchi yao.
Ukimuuliza mje kwenye scientific discussion inayotoa proof ya kuanguka kwa uchumi wa Kenya, atazunguka mbuyu na kurudia yale yale aliyokaririshwa. Huwa namuachia ukumbi aendelee kufoka mwenyewe.

Hehehe!! Eti Moody walisema uchumi wa Kenya umeanguka....
 
Kula likes tano...
 

Mpuuzi mkubwa sana huyo. Yaani nchi ikikumbwa na tatizo kidogo ya kiuchumi, basi inaporomoka? Basi Nigeria na SA ambazo ziko katika hali mbaya zaidi ya Kenya- yaani recession- mbona hawasemi zinaelekea kuanguka?

Nonsense.
 
The point is, the retail sector in Tz is small, profits negligible.

Right here on JF in 2015, one Tanzanian commented that the majority of the people visiting Milimani city Dar are youngsters who go thea to buy ice- cream, take selfies and post to IG!
 
Wewe ndio zwazwa tra leo wamekanusha huu upuuzi wenu mnaojifariji nao wapinzani wa Tanzania mna laana, yaani nyie ni furaha kwenu kuona Tanzania inakufa stupid morons

Hii inaonesha namna mlivyo na njaa ya kushika madaraka ili kujaza matumbo yenu makubwa mnadhani Tanzania ikianguka ndio Magufuli ameanguka wapumbavu wakubwa nyie

Kwa taarifa yenu tra wamekusanya trillion 3.6 kwa miezi hii mitatu, wachawi wakubwa nyie mtawanga sana na ikulu hamuingii bora mbuni shughuli nyingine ya kufanya kama Mwenyekiti wenu alivyobuni shughuli ya kuwajaza mimba wabunge wa vitu maalum.
 
Wewe nawe ni taahira mwingine njoo Mlimani city kesho, njoo mkuki house, njoo obey, njoo msasani tatizo unadhani ufukara wako ni wa kila mtu, juzi nilikua arusha kwenye medium Mall ya aim sikupata hata parking na parking yao ni 500 cars capacity
 
Wewe nawe ni taahira mwingine njoo Mlimani city kesho, njoo mkuki house, njoo obey, njoo msasani tatizo unadhani ufukara wako ni wa kila mtu, juzi nilikua arusha kwenye medium Mall ya aim sikupata hata parking na parking yao ni 500 cars capacity


Watu kujaa shopping malls haimaanishi wote wananunua, hauhitaji kubishana kuweza kuelewa hili, angalia takwimu tu, per capital income ya TZ yetu ni USD ngapi? Yaani pato la Mtanzania au labda niweke hivi ni Watanzania wangapi wanaopata mshahara wa kuanzia 500 USD kwa mwezi?
 
Hahaha kweli we upo empty? Hivi unajua ni watanzania kiasi gani wanatengeneza kwa kiwango cha chini tu let's say 1 million per day?

Hivi unadhani maisha unayoishi wewe pamoja na unaowajua ndio wote wanayaishi? Pole sana nikiachilia mbali kama juzi nilivyokua arusha wengi walikua wazungu pamoja na watanzania lakini usidhani wote ni walalahoi.

Nikupe simple research leo nenda barabarani kakague plate number zenye herufi D, au aina za SUV zinazopita barabarani ni kiasi gani
 
Eti watu hawawezi kuingia supermarket lakini barabarani kuna thousands of new vehicles lazima utakua na matatizo kununua gari na kununua chocolate ya 2000 ipi gharama?
 
Eti watu hawawezi kuingia supermarket lakini barabarani kuna thousands of new vehicles lazima utakua na matatizo kununua gari na kununua chocolate ya 2000 ipi gharama?


Kwa taarifa yako sehemu kubwa ya magari ya gharama unayoyaona TZ yetu ni aidha ya Serikali, Mashirika ya umma, Balozi na nchi mbali mbali, NGO, UN n.k.
 


Weka takwimu hapa, ni asilimia ya ngapi ya Watanzania wanatengeza hiyo milioni 1 kwa siku?
 
Tra wametoa report leo, sijui umeiona au ndio unasema ni waongo. Mnazidi reveal your true colors.
Wapinzani bongo kama Mungu aishivyo hamtapata madaraka kwa sababu ya huu uchawi wenu wa kuombea mabaya yaikumbe nchi.
 
Morons baba yako na mama yako. Unaamini hii Serikali inayoendeshwa kwa taarifa zilizojaa uongo na kuficha zile ambazo hawataki wananchi tuzijue kwa mfano kuficha ukubwa wa deni la Taifa na pia kukopa mikopo ya riba kubwa kwa kificho.

 
Morons baba yako na mama yako. Unaamini hii Serikali inayoendeshwa kwa taarifa zilizojaa uongo na kuficha zile ambazo hawataki wananchi tuzijue kwa mfano kuficha ukubwa wa deni la Taifa na pia kukopa mikopo ya riba kubwa kwa kificho.
Bloody moron you, unadai taarifa ni fake lakini nikikuuliza aliyekupa taarifa ya kushuka kwa collection ni mbunge wa Kigoma you must be retarded okay?

Yaani hapo ni kwamba masikio yako ni mepesi kusikiliza na nafsi yako inafurahia kuona Tanzania inaanguka without any reason just because I don't like the president because is not from my political party you are lunatic thank you.
 
Kwa akili yako fupi ZWAZWA. Unakubali kuudanganywa huku takwimu nyingine muhimu zikifanywa siri na ju.ha wewe kuukubali uongo huo.

Acha akili ya kufikirika pimbi wewe! Hebu onyesha popote pale nilipowahi kuandika kwamba nafurahia kuona uchumi wa Tanzania kuanguka

Wapumbavu kama wewe ndiyo mtaji mkubwa wa hiki Chama cha wahuni na mafisadi.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…