MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #61
Which economic and political analysts have predicted Kenya's collapse?
Moody's? Duh! What is the size of the Japanese, UK, US, SA debt relative to their gdp? U really think Kenya's worst case scenario?
And really, Moody's have predicted the collapse of the Kenyan economy? A country posting 5 or 6% growth pa?
See the smoker!
Huyo utapoteza muda wako bure, alishakaririshwa pale Lumumba street office za CCM kwamba ndio wimbo wa kuwaimbia Watanzania humu, eti Kenya uchumi umeanguka. Yaani wakiimba hivyo na kuwakaririsha Watanzania wengine, wataacha kuhojiwa madudu kwenye nchi yao.
Ukimuuliza mje kwenye scientific discussion inayotoa proof ya kuanguka kwa uchumi wa Kenya, atazunguka mbuyu na kurudia yale yale aliyokaririshwa. Huwa namuachia ukumbi aendelee kufoka mwenyewe.
Hehehe!! Eti Moody walisema uchumi wa Kenya umeanguka....