Maduka ya Uchumi walipofunga TZ, mlishabikia sana humu, sasa na hawa wengine mnawacheka?

Investors wengi wanaoleta supermarkets Bongo hawana uelewa wa soko la Bongo.Kwa hiyo kwa njia moja ama nyingine kufeli is inevitable mfano rahisi Ckeki position ilipo Nakumatt pale Kamata right next to Kariakoo! How does it survive ???
 
Wabongo sisi ni washamba na wezi tuu
Shika adabu yako kama wewe mwizi na mshamba basi sema mimi usituingize wote
Heshimu watu bana huwezi tukana mpaka wazazi wako kwa kuwaingiza kwenye kashfa hii
Nyambafu we
 
Bongo sa hivi kama umeusoma mchezo unakula noti tu ila kama ndo mzee kwa kuskilizia slope kama kipindi kile mara connection lazima ulie tu.......halaf supermarket huku sijaonaga umuhimu wake kabisa zaid watu wanaenda kupiga picha tu na kula vi ice cream kama mahitaji masoko yako kibao na yanauza vitu fresh na bei rahisi tu hizo wazifunge tu
 
Geza,saidia kkumbusha hawa vilaza kwamba hats Uganda ilifungwa.Article by nyangau na posted by nyangau,nothing new.
Waache wajifariji ilianza Deacons, wakaja Uchumi na sasa Nakumatt. Nasikia Naivas na Tusky wanataka kujaribu wembe wa kuwanyoa tunao. Nawapa miaka 5 watafungasha virago[emoji115] [emoji23]
 


we ni mpuuzi sana. na bado Odinga kawashika mwaka huu..lazima mchinjane na ukabila wenu
 
hujaona umuhimu supermarket..duuu
 
Ni upuuzi kuombea uchumi wa jirani yako uharibike ilhali kwa namna moja au nyingine ni lazima itakuathiri tu upende usipende! And this goes to all sides..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…