Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shika adabu yako kama wewe mwizi na mshamba basi sema mimi usituingize woteWabongo sisi ni washamba na wezi tuu
Waache wajifariji ilianza Deacons, wakaja Uchumi na sasa Nakumatt. Nasikia Naivas na Tusky wanataka kujaribu wembe wa kuwanyoa tunao. Nawapa miaka 5 watafungasha virago[emoji115] [emoji23]Geza,saidia kkumbusha hawa vilaza kwamba hats Uganda ilifungwa.Article by nyangau na posted by nyangau,nothing new.
Kwanza hata Bongo ni nchi maskini...sijui investors huwa wanapeleka nini kule...GDP ya $47B na per capita ya $700 hapo hakuna pesa....ndio maana zinafungwa sababu ya low profitability..ukitaka profits kubwa bila shaka nenda South Africa, Nigeria Morocco ama Egypt...Kenya pia ni sawa kwa investors sababu if yo
control Kenya you control the whole of East Africa lakini Tanzania ni kama tu kukimbiza mkia wako...
hujaona umuhimu supermarket..duuuBongo sa hivi kama umeusoma mchezo unakula noti tu ila kama ndo mzee kwa kuskilizia slope kama kipindi kile mara connection lazima ulie tu.......halaf supermarket huku sijaonaga umuhimu wake kabisa zaid watu wanaenda kupiga picha tu na kula vi ice cream kama mahitaji masoko yako kibao na yanauza vitu fresh na bei rahisi tu hizo wazifunge tu
Ninaweza pitisha hata mwaka sijakanyaga kwenye supermarket maana kila nnachohitaji ninapoishi nakipata sasa niende nikauze surahujaona umuhimu supermarket..duuu