Maduka ya Uchumi yalipopata matatizo kwao walichekelea, sasa Shoppers naona na wao wamefungasha

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kwa ujinga na ligi za kipuzi kuna Watanzania wakiona kampuni ya Kikenya iliyowekeza kwao imeanza kupata matatizo wanachekelea bila kujua matukio kama hayo huadhiri ajira za watu wao na uchumi wa nchi.

Kuna hii picha nimeiona mitandaoni hali sio shwari kwa Shppers trading, pi na wao wameamua kuachia, hali tete vyuma vimekaza kule.

 
Only Strongest will Survive
[emoji23][emoji23][emoji23] wakwendee tu,Kama huna mtaji na operatipnal Funds kajipange tena ukuje Tanzania

Teflon_Don
 
Naombeni Waafrika tuwe wamoja bila kuchukiana.
Hii mipaka iliyowekwa na wakoloni isitufanye tuwe kama maadui ndugu zangu
Wakenya ni ndugu zetu na sisi ni ndugu zao

Tushikamane kiuchumi, kisiasa, kiulinzi na tusiruhusu tofauti ndogondogo zitutenganishe
Madhara ya huu utengano unaoanza kuonekana leo tutayaona baadae kama hatutakuwa makini!
Hakuna jambo zuri kama kuwa na amani na jirani yako hasa ukizingatia ni ndugu.

Tofauti yetu ni mipaka tu iliyowekwa na maadui zetu kwa pamoja
 
Only Strongest will Survive
[emoji23][emoji23][emoji23] wakwendee tu,Kama huna mtaji na operatipnal Funds kajipange tena ukuje Tanzania

Teflon_Don

Tatizo mnawakwamisha, vyuma vimekaza kote...
 
Watu wamezoea kuchuma mboga shambani na kununua kwa duka unatarajia kuwaona supermarket mkuu?
 
Watu wamezoea kuchuma mboga shambani na kununua kwa duka unatarajia kuwaona supermarket mkuu?

Hawa ndio zao, ukipewa jukumu la kuandika a (GTM) 'Go-to-Market' strategy utahangaika mwaka unaisha hujajua uanzie wapi.
 
Kampuni iliyotembelea kichwa ni Shoppers Trading Ltd ambayo toka ianzishwe 2012 haikuwahi kufanya kazi yoyote . Shoppers supermarket ina expand na sasa wanafungua Tawi Dodoma.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…