Maduka ya vifaa vya salooni kariakoo

Maduka ya vifaa vya salooni kariakoo

KITAULO

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
1,926
Reaction score
2,797
Habari wadau,
Naomba kuelekezwa ama kufahamishwa yalipo maduka ya jumla ya vifaa vya masaluni..eg dryer etc..

Asante kwa ushirikiano
 
Nenda kwa kavishe makutano ya jangwani na mafia jengo linaitwa Mreny tower.
 
Nenda pale karibu na mataa ya faya kamaunatokea KARIAKOO ukikosa unacho taka pale rudi home.
 
Back
Top Bottom