Siku hizi kuna maduka mengi ya clone za kupima, nunua hizo ni nzuri sana na upigwaji ni mdogo
Hofu juu ya wauzaji wa perfume ni kubwa sn yangu nilipo nunua hio bleu de chanel kwa elfu 50 harafu ukijipulizia nakufunika chupa tu na harufu inaishia hapo ndugu yangu , niliumia week nzimaSasa utasemaje ni mpigaji? kwani kakwambia kua hiyo ni OG au sio OG?
Wasiwasi wako ndio unakufanya kumuhukumu kua ni mpigaji?
Kwa hizo price hakuna OG hapo.