Jamiru
Member
- Aug 18, 2020
- 91
- 315
Katika pitapita zangu nikakutana na duka moja la perfume na vipodozi , nikaingia kwaajil ya kuchukua mahitaji yang , sasa kuangaza nikaona perfume ya Hugo boss na bleu de chanel nikaomba anitolee kwaajil ya kuzikagua maaana mzigo wa Hugo boss nasikia ni bei mbaya sasa nikangalia unanukia poa lkn bei nikambia 35000/ maswali ya kaanza kuingia kichwan mwangu hv huu mzigo sio fake kwel au n mwenye duka kalewa jaman wadau hebu naombeni ushauri