Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na halina mpinzani.Huwa wanahangaika kila mara kuleta majina mapya kwa Simba lakini yote hayafui dafu kwa Utopolo.Yani Uto kama Uto litabaki kuwa juu zaidi.Duu...Yanga Ndo Mnataka Ku Neutralise Na 'Utopolo'...!
Acha Bwana Utopolo limewakaa Vizuri asikwambie mtu..!
Kesho leteni tena jina jingine,lakini UTOPOLO litabaki kuwa juu.Uzuri lilitolewa na Shabiki mwenzenu.Kuanzia Sasa shabika wa Simba anaitwa DUNDUKA wakiwa wengi n MADUNDUKA
Makolo limekufa?Kuanzia Sasa shabika wa Simba anaitwa DUNDUKA wakiwa wengi n MADUNDUKA
Utopwinyo linabamba sanaNa halina mpinzani.Huwa wanahangaika kila mara kuleta majina mapya kwa Simba lakini yote hayafui dafu kwa Utopolo.Yani Uto kama Uto litabaki kuwa juu zaidi.
Kaa kwkutulia wewe dunduka aloyetoa jina Ni huyuKesho leteni tena jina jingine,lakini UTOPOLO litabaki kuwa juu.Uzuri lilitolewa na Shabiki mwenzenu.
Imepita hiyoKuanzia Sasa shabika wa Simba anaitwa DUNDUKA wakiwa wengi n MADUNDUKA
Madunduka limetolewa na naniKesho leteni tena jina jingine,lakini UTOPOLO litabaki kuwa juu.Uzuri lilitolewa na Shabiki mwenzenu.
DundukaaaaaMakolo limekufa?
Ila UTOPOLO liko sealed na limefukiwa baharini mtakufa nalo
Unataka useme hata jina la mbumbumbu Fc nalo halijawakaa!! Huu sasa ni utani.Na halina mpinzani.Huwa wanahangaika kila mara kuleta majina mapya kwa Simba lakini yote hayafui dafu kwa Utopolo.Yani Uto kama Uto litabaki kuwa juu zaidi.