Madunduka FC

Madunduka FC

Utopolo, gongowazi, kandambili,kwasukwasu,yeboyebo,kinyesi,vyura,kangamoko, kigodoro, mama J yote haya majina yenu ila Utopolo ndiyo kiboko ya yote limekaa vizuri sana
 
Utopolo ndio trade mark haswa limesajiliwa kama hati miliki.Utopolo hata waje na majina mengine mia hakuna linalowavaa kama Utopolo.
 
Hakuna jina la kufunika utopolo fc. Yaani kila jina simba analopewa halijafiti kama lile utopolo. Mikia, mbumbumbu, makolo, madunduazi na mengine mengi yatayokujs hayadumu. Utopolo ni perfect name. Kazi mnayo
 
Tuuheshimu mpira na matokeo yake, Sunche na Kapeto wote wametolewa. Na uhalali wa huu uzi upo? Period
 
Back
Top Bottom