“Mimi sina hatia. Sikujihusisha na kosa lolote. Mimi ni mtu mwema. Bado mimi ni rais wa nchi yangu,” alisema Maduro, mwenye umri wa miaka 63, kupitia mkalimani, kabla ya kukatizwa na Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Marekani, Alvin Hellerstein, katika mahakama ya shirikisho ya Manhattan.
Mke wa Maduro, Cilia Flores, naye pia alikana mashtaka yote. Kikao kijacho cha mahakama kimepangwa kufanyika Machi 17.
Kabla ya kusikilizwa kwa kesi hiyo iliyodumu dakika 30, makumi ya waandamanaji wanaomuunga mkono na wanaompinga Maduro walikusanyika nje ya jengo la mahakama.
Ndani ya mahakama Maduro alisema alikuwa “ametekwa nyara” na kusisitiza kuwa bado yeye ndiye rais wa Venezuela. Alisikiliza tafsiri kupitia vipokea sauti masikioni alipokuwa akimsikiliza Jaji Hellerstein akieleza muhtasari wa mashtaka dhidi yake.
Maduro anatuhumiwa kuongoza mtandao wa biashara ya kokeini unaoshirikiana na magenge ya kimataifa ya dawa za kulevya, na anakabiliwa na mashtaka manne ya jinai: ugaidi wa dawa za kulevya, njama ya kuingiza kokeini nchini, pamoja na umiliki wa bunduki za kivita na silaha hatari.
Kwa muda mrefu Maduro amekuwa akikana tuhuma hizo, akisema ni kisingizio cha mipango ya kibeberu ya kuinyakua Venezuela kwa sababu ya rasilimali zake kubwa za mafuta.
Wakili wa utetezi wa Maduro, Barry Pollack, alisema anatarajia kesi ndefu na tata kuhusu kile alichokitaja kuwa “utekaji wa kijeshi” wa mteja wake.
Soma pia Nicolás Maduro na mkewe wafikishwa mahakama ya New York
=======
Toppled Venezuelan President Nicolas Maduro pleaded not guilty on Monday to narcotics charges after President Donald Trump's stunning capture of him rattled world leaders and left officials in Caracas scrambling to regroup.
"I am innocent. I am not guilty. I am a decent man. I am still president of my country," Maduro, 63, said through an interpreter, before being cut off by U.S. District Judge Alvin Hellerstein in Manhattan federal court.
Maduro's wife Cilia Flores also pleaded not guilty. The next court date was set for March 17.
Dozens of protesters, both pro- and anti-Maduro, gathered outside the courthouse before the half-hour hearing.
Inside, as he stood shackled at the ankles and wearing orange and beige prison garb, Maduro declared he had been "kidnapped" and remained president of Venezuela. He listened to an interpreter through headphones as Hellerstein summarized the charges.
Maduro is accused of overseeing a cocaine-trafficking network with international drug cartels and faces four criminal counts: narco-terrorism, cocaine importation conspiracy and possession of machine guns and destructive devices.
Maduro has long denied the allegations, saying they were a mask for imperialist designs on Venezuela's rich oil reserves.
Maduro's defense lawyer Barry Pollack said he anticipated voluminous and complex litigation over what he called his client's "military abduction."