Maegesho ya gari kwenye maonesho ya Sabasaba ni 10,000/=

Kisendi

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Posts
699
Reaction score
179
Ukienda SABASABA jipange na hela ya parking!! This season charge ni 10,000/= Jana nimelipia 10,000 kama huna cha kwenda kubeba better ukaacha gari hata huku TAIFA kuepusha usumbufu.

Parking ni issue
 
ahsante kwa taarifa kiongozi
 
Aisee Bora lakini.
Maana pale kuna watu walikuwa wanaweka gari mpaka unakosa pa ku park.
Ila hii kidogo itapunguza,ila mie naona kiwango cha Kawaida saana kwa Hadhi ya maonyesho Makubwa kama Hayo
 
Taifa gari unakua unaliacha na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…