Ukienda SABASABA jipange na hela ya parking!! This season charge ni 10,000/= Jana nimelipia 10,000 kama huna cha kwenda kubeba better ukaacha gari hata huku TAIFA kuepusha usumbufu.
Aisee Bora lakini.
Maana pale kuna watu walikuwa wanaweka gari mpaka unakosa pa ku park.
Ila hii kidogo itapunguza,ila mie naona kiwango cha Kawaida saana kwa Hadhi ya maonyesho Makubwa kama Hayo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.