Maelekezo kuhusu kusafirisha mzigo toka USA mpaka kwetu Tanzania

Acehood

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,653
Reaction score
2,792
Samahani wakuu naomba kuelekezwa njia nzuri ya kusafirisha mzigo (Laptop kumi) kutoka USA kuja TZ kwa bei nafuu...ni mzigo natakiwa kutumiwa na ndugu yangu. Msaada wakuu
 
DHL ni nzuri mkuu ila jiandae tu unaweza ibukiwa ulipe kodi maana 10 nyingi mkuu.

I hope ni ndugu kweli mkuu, isije kuwa wale jamaa zetu mko nao kwenye mchakato mnaendelea kuwasiliana wamekwambia watakutumia laptop 10! Hatari sana wale jamaa mkuu
 
Asante sana mkuu.
ni ndugu ase tunafahamiana vizuri
 
DHL ni nzuri mkuu ila jiandae tu unaweza ibukiwa ulipe kodi maana 10 nyingi mkuu.
I hope ni ndugu kweli mkuu, isije kuwa wale jamaa zetu mko nao kwenye mchakato mnaendelea kuwasiliana wamekwambia watakutumia laptop 10! Hatari sana wale jamaa mkuu
Hamna nyingine mkuu?
DHL kasema wana charge kiasi kikubwa cha pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…