Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuu.DHL ni nzuri mkuu ila jiandae tu unaweza ibukiwa ulipe kodi maana 10 nyingi mkuu.
I hope ni ndugu kweli mkuu, isije kuwa wale jamaa zetu mko nao kwenye mchakato mnaendelea kuwasiliana wamekwambia watakutumia laptop 10! Hatari sana wale jamaa mkuu
Hamna nyingine mkuu?DHL ni nzuri mkuu ila jiandae tu unaweza ibukiwa ulipe kodi maana 10 nyingi mkuu.
I hope ni ndugu kweli mkuu, isije kuwa wale jamaa zetu mko nao kwenye mchakato mnaendelea kuwasiliana wamekwambia watakutumia laptop 10! Hatari sana wale jamaa mkuu