Maelekezo kwa wale waliochaguliwa kujiunga na udsm

scopio

Member
Joined
Aug 24, 2012
Posts
47
Reaction score
5
kwa wale wanaotoka mkoa wa arusha wanaweza kuwasiliana na mimi ili ni wape maelekezo kwani wengi wa wanafunzi wanapofika dar-es -salaam hutapeliwa vitu vyao hasa wale ambao hawana ndugu wa kuwapokea.ninawashauri kuwa makini hasa wafikapo stendi ya mkoa ubungo ambako kuna matapeli wengi. pia tarehe ya kuripoti chueni ni 12 mwezi wa kumi.suala la mahali pa kulala pindi mwanafunzi anaporipoti chuoni husumbua kidogo kwani mwanafunzi hutakiwa kulipa kwanza accomodation fees ndipo atapata malazi. tatizo hujitokeza kwa wale ambao kifedha hawapo vizuri so chakufanya hakikisha unafedha kidogo ili ulipie malazi huku ukisubiri boom liteme maana huchukua muda kidogo.kama hunafedha kabisa waweza kuwaomba washikaji ambao wanasehemu za kulala ili wakubebe mpaka utakapolipia accomodation fees. for more information use the following contact 0768906727MAM
 
Kaka umetisha,vipi kuhusu vyeti vinavyohitajika katika mchakato mzima wa kufanya admission...plz kama una info zozote kuhusu conas nitonye
 
masuala ya vyeti hakikisha unabeba vyeti vivuatavyo

  1. [*=1]advance leving certificate origin and copy
    [*=1]birth certificate origin and copy
    [*=1]advance academic certificate origin and copy. if you dont have you may use result slip since it is acceptable until necta sent the acadamic certificate to your school.
    [*=1]olevel accademic certificate origin and copy
    [*=1]NB: if the student missing the above requrement they may will suffer consequense and no registration can be made to any student regadless your sex and other status.though dont forget about payment since student surpose to pay all required fees first and they can proceed with registration.
 

scopio umenikata kiu niliyokua nayo jangwani coz sina vyeti vya advance....asee acha nianze kuvifukuzia...vipi kuhusu hii mnaita CONAS coz nmetupwa petroleum chemistry
 
Last edited by a moderator:
scopio umenikata kiu niliyokua nayo jangwani coz sina vyeti vya advance....asee acha nianze kuvifukuzia...vipi kuhusu hii mnaita CONAS coz nmetupwa petroleum chemistry

hyo petronium chemistry itakua ni kozi mpya pale udsm..ila dogo naomba unibebe basi?
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu mnaoenda UDSM kwa mara ya kwanza sikiliza kwa makini. Kwanza nimeahidi kuwaletea official document from UDSM nitakaporudi Dar inayohusu kila kitu kuhusu mwaka wa kwanza. Pili swala la kiasi cha fedha kwaajili ya malazi na vitu vidogovidogo kama alivyoeleza scopio ni muhimu sana ila napingana nae swala la kuomba kulala kwa washikaji mpaka mpate boom ili ulipie accommodation; jamani siku ukifika lazima utapokelewa na vijana watanashati na wenye vitambulisho ambo wengi wao ni viongozi wa wanafunzi (DARUSO) pamoja na wa chuo, kisha watakupeleka sehemu husika kwaajili ya makabrasha unayopaswa kuwa nayo kabla ya kukuelekeza au kukusindikiza kwensa sehemu ya kulala kwanza kabla ya kuendelea na mambo mengine. Ikiwa utafika jioni hutawakuta hao wapokeaji ila ulizia kituo cha askari wasaidizi au polisi hakikisha umefika kituoni (usije ukakutana na askari feki ukadhania ukaliwa) ndipo upewe mtu wa kukupeleka kwa wadeni naye atakupa pa kulala (malazi ya muda mpaka hapo utakapomaliza malipo (ndani ya siku za orientation maana uhakika ni kwamba hela huingia mapema).

Sasa we nenda kalale kwa washikaji uibiwe mmpaka wewe mwenyewe ukalete migomo pale uone utakavyodonolewa.
 
mkuu mimi nilikuwa nikimaanisha kuwa watafute watu wanaowajua tu tena waliosoma nao ikibidi. msisitizo mwingine ninawashauri wale wanaotokea mkoani wafanye safari zao mapema ili wafike chuoni mchana peupe kwani wezi pale ubungo watakuchakaza kama utafika usiku na hasa kama ni mara yako ya kwanza kufika bongo.
 
mkuu mimi nilikuwa nikimaanisha kuwa watafute watu wanaowajua tu tena waliosoma nao ikibidi. msisitizo mwingine ninawashauri wale wanaotokea mkoani wafanye safari zao mapema ili wafike chuoni mchana peupe kwani wezi pale ubungo watakuchakaza kama utafika usiku na hasa kama ni mara yako ya kwanza kufika bongo.
 

jaman sie ambao ndo mara yetu ya kwanza kuja dar kwel kazi ipo
 
wacha uwoga kijana mimi natoa msaada wa bure kabisa chakufanya wasiliana na mimi kwenye namba nilizozitupia kwenye posti mwanzoni kabisa . pia nitakuwachuoni pindi mtakaporipoti .
 

Hii imekaa poa.. Vipi inahitajika kununua magodoro, au vitandaa vina magodoro tayari.
 
Hii imekaa poa.. Vipi inahitajika kununua magodoro, au vitandaa vina magodoro tayari.

Dansel hostel kila kitu ni mpango mzma labda vitu vya luxury ndio unaongezewa...umepata cozy gani
 
Last edited by a moderator:
Yani hapa mpaka ifike hyo tar12 ni balaa...bt thanks scopio & mabula for good intro,tawatafuta nikifika huko...
 


Mkuu,samahani kama nitakua niko nje na maelekezo yako ila kwa uzoefu wangu kuhusu udsm hii kitu kwenye nyekundu hua haihitajiki labda kama utaratibu umebadilika kwa miaka ya hivi karibuni.

Vingine vyote hapo 2,3,4 na 5 uko sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…