kwa wale wanaotoka mkoa wa arusha wanaweza kuwasiliana na mimi ili ni wape maelekezo kwani wengi wa wanafunzi wanapofika dar-es -salaam hutapeliwa vitu vyao hasa wale ambao hawana ndugu wa kuwapokea.ninawashauri kuwa makini hasa wafikapo stendi ya mkoa ubungo ambako kuna matapeli wengi. pia tarehe ya kuripoti chueni ni 12 mwezi wa kumi.suala la mahali pa kulala pindi mwanafunzi anaporipoti chuoni husumbua kidogo kwani mwanafunzi hutakiwa kulipa kwanza accomodation fees ndipo atapata malazi. tatizo hujitokeza kwa wale ambao kifedha hawapo vizuri so chakufanya hakikisha unafedha kidogo ili ulipie malazi huku ukisubiri boom liteme maana huchukua muda kidogo.kama hunafedha kabisa waweza kuwaomba washikaji ambao wanasehemu za kulala ili wakubebe mpaka utakapolipia accomodation fees. for more information use the following contact 0768906727MAM