xir jyerphy
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 994
- 184
Pamoja Xir jyerphy hope tutameet huko mi nimepangwa Civil Eng.
Dansel hapo civil utakutana na mwana'ngu anaitwa vcta...pamoja sana mkuu
Kwa kiingereza iki,je tutafika,na huyu ni msomi wa chuo kikuu,je wa sekondari inakuwa vipi?masuala ya vyeti hakikisha unabeba vyeti vivuatavyo
[*=1]advance leving certificate origin and copy
[*=1]birth certificate origin and copy
[*=1]advance academic certificate origin and copy. if you dont have you may use result slip since it is acceptable until necta sent the acadamic certificate to your school.
[*=1]olevel accademic certificate origin and copy
[*=1]NB: if the student missing the above requrement they may will suffer consequense and no registration can be made to any student regadless your sex and other status.though dont forget about payment since student surpose to pay all required fees first and they can proceed with registration.
Kwa kiingereza iki,je tutafika,na huyu ni msomi wa chuo kikuu,je wa sekondari inakuwa vipi?
Kwa kiingereza iki,je tutafika,na huyu ni msomi wa chuo kikuu,je wa sekondari inakuwa vipi?
Hiv huyu ngonini cjui ngonani ndo nan humu ndani,c wasomi tumemuelewa mwanetu,ka hujaelewa tafta dikshenar kaka...!!!
kwa wale wanaotoka mkoa wa arusha wanaweza kuwasiliana na mimi ili ni wape maelekezo kwani wengi wa wanafunzi wanapofika dar-es -salaam hutapeliwa vitu vyao hasa wale ambao hawana ndugu wa kuwapokea.ninawashauri kuwa makini hasa wafikapo stendi ya mkoa ubungo ambako kuna matapeli wengi. pia tarehe ya kuripoti chueni ni 12 mwezi wa kumi.suala la mahali pa kulala pindi mwanafunzi anaporipoti chuoni husumbua kidogo kwani mwanafunzi hutakiwa kulipa kwanza accomodation fees ndipo atapata malazi. tatizo hujitokeza kwa wale ambao kifedha hawapo vizuri so chakufanya hakikisha unafedha kidogo ili ulipie malazi huku ukisubiri boom liteme maana huchukua muda kidogo.kama hunafedha kabisa waweza kuwaomba washikaji ambao wanasehemu za kulala ili wakubebe mpaka utakapolipia accomodation fees. for more information use the following contact 0768906727MAM
Scopio.. First year tufanye nini ili kuweza kumanage security za vitu vyetu hasa Laptop tuwapo chuoni.. Au ni vizuri tukajanazo semister ya Pili tukishakua tumezoea chuo?..
Toto la kishua-shua nini,yani kutunza mali zako napo unahitaji darasa...yani naomba mungu jkt intake ya 3 iwepo,raia mkale pindi za kibeto
Jkt Mi nlienda awamu ya Kwanza KJ 832 .. Sema nataka kujua mazingira ya utunzaji vitu yamekaaje mfano, ukiwa chuoni kuna safety ya kutosha katika Hostel, Isije kuwa ka ya Jkt Ukijisahau tu hata daika huna Chako ... Hope umenipata jyerphy
AG.4464 S/M xir jyerphy...824 KJ KANEMBWA...vipi wewe mike
AG 3102 s/m michael 823 KJ
AG.4464 S/M xir jyerphy...824 KJ KANEMBWA...vipi wewe mike
Senior...jambo poti...ud cozy gan
AG 4898 SM Dansel *832*Kj Ruvu.... Wazee wa route march 72kms
jambo mwili legeza...npo PSPA poti