Maelekezo kwa wale waliochaguliwa kujiunga na udsm

Maelekezo kwa wale waliochaguliwa kujiunga na udsm

chumba kwa campus wanalala watu watatu chumba kimoja na kuna vingine wanalala wawili kwa vimba vidogo kwa upande wa mabibo wanalala watu wanne vumba vyote.
mzee namba yangu si umeiona hapo juu nitafute ili ni kupe mchongo zaidi.
 
kaka nikumbuke scopio hasa kwenye suala la kubeba ukipata chumba mshikali wangu.mambo yote muhimu ambayo yanakutatiza tupia haha mimi nipo kwa ajili hiyo .umoja na mshikamano mbele kwani yaliyotupata sisi pindi tuliporipoti miaka yate hatuhitaji yawakute ninyi kwani ninyi ni kama ndugu zetu wa damu udsm huwa ni chuo kinachosifika kwa umoja na mshikamano pasipo kujali kabila sura au rangi.
 
document nilizozitoa hapo juu zinahitajika ila kwa upande wa advance academic certificate huwa zinachelewa kutoka hivyo mwanafunzi anapaswa kuchukuwa result slip mpaka inayodhibitisha matokeo yake . ndugu zangu first year msibweteke wewe beba vyeti vyote kuepuka usumbufu kwani vyeti si mzigo ila chunga sana usivipoteze.zingatia sana haya usije ukaingia gharama za kurudi kwenu kwa ajili ya kutafuta vyeti.fanya maandalizi ya kutosha
 
masuala ya vyeti hakikisha unabeba vyeti vivuatavyo

  1. [*=1]advance leving certificate origin and copy
    [*=1]birth certificate origin and copy
    [*=1]advance academic certificate origin and copy. if you dont have you may use result slip since it is acceptable until necta sent the acadamic certificate to your school.
    [*=1]olevel accademic certificate origin and copy
    [*=1]NB: if the student missing the above requrement they may will suffer consequense and no registration can be made to any student regadless your sex and other status.though dont forget about payment since student surpose to pay all required fees first and they can proceed with registration.
Kwa kiingereza iki,je tutafika,na huyu ni msomi wa chuo kikuu,je wa sekondari inakuwa vipi?
 
Kwa kiingereza iki,je tutafika,na huyu ni msomi wa chuo kikuu,je wa sekondari inakuwa vipi?

Yani mimi sipendi kabisa kuona mtu anapima uelewa kwa kujudge kingereza cha mtu...huu ni ujinga mtupu,hivi nani alileta maendeleo dunia hii kwa kuongea kimombo...acheni bana hii michezo yenu
 
Hiv huyu ngonini cjui ngonani ndo nan humu ndani,c wasomi tumemuelewa mwanetu,ka hujaelewa tafta dikshenar kaka...!!!

Yani hayupo peke yake humu wapo kibao wanajifanya wao ni wasomi wakubwa kumbe ndo walewale...kingereza chenyewe tunatumia 'ili mradi liende',cha msingi ni kua na madini ya kutosha kichwani
 
kwa wale wanaotoka mkoa wa arusha wanaweza kuwasiliana na mimi ili ni wape maelekezo kwani wengi wa wanafunzi wanapofika dar-es -salaam hutapeliwa vitu vyao hasa wale ambao hawana ndugu wa kuwapokea.ninawashauri kuwa makini hasa wafikapo stendi ya mkoa ubungo ambako kuna matapeli wengi. pia tarehe ya kuripoti chueni ni 12 mwezi wa kumi.suala la mahali pa kulala pindi mwanafunzi anaporipoti chuoni husumbua kidogo kwani mwanafunzi hutakiwa kulipa kwanza accomodation fees ndipo atapata malazi. tatizo hujitokeza kwa wale ambao kifedha hawapo vizuri so chakufanya hakikisha unafedha kidogo ili ulipie malazi huku ukisubiri boom liteme maana huchukua muda kidogo.kama hunafedha kabisa waweza kuwaomba washikaji ambao wanasehemu za kulala ili wakubebe mpaka utakapolipia accomodation fees. for more information use the following contact 0768906727MAM

Scopio.. First year tufanye nini ili kuweza kumanage security za vitu vyetu hasa Laptop tuwapo chuoni.. Au ni vizuri tukajanazo semister ya Pili tukishakua tumezoea chuo?..
 
Scopio.. First year tufanye nini ili kuweza kumanage security za vitu vyetu hasa Laptop tuwapo chuoni.. Au ni vizuri tukajanazo semister ya Pili tukishakua tumezoea chuo?..

Toto la kishua-shua nini,yani kutunza mali zako napo unahitaji darasa...yani naomba mungu jkt intake ya 3 iwepo,raia mkale pindi za kibeto
 
Toto la kishua-shua nini,yani kutunza mali zako napo unahitaji darasa...yani naomba mungu jkt intake ya 3 iwepo,raia mkale pindi za kibeto

Jkt Mi nlienda awamu ya Kwanza KJ 832 .. Sema nataka kujua mazingira ya utunzaji vitu yamekaaje mfano, ukiwa chuoni kuna safety ya kutosha katika Hostel, Isije kuwa ka ya Jkt Ukijisahau tu hata daika huna Chako ... Hope umenipata jyerphy
 
AG.4464 S/M xir jyerphy...824 KJ KANEMBWA...vipi wewe mike
 
Back
Top Bottom