Dansel
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 249
- 59
821 mananga ya kwata nackia mlt*mb* kazi kwata la bendi,lakini mlijila sana nyie
Baba Kumbe yaliharibu kazii hayoo ... Yale ngarambe tuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
821 mananga ya kwata nackia mlt*mb* kazi kwata la bendi,lakini mlijila sana nyie
Nyie mmepiga bila mkesha, hizo fatiki ukizipiga na mkesha ni balaa.. nyie watoto mchele mchele Fatiki bila Mkeshaaa utafikiri home tuuu....
Weeee... Hayo mavituzi walikuwa nayo Kina Michael Snow huko tabora kwao.. Ilipigwa mikesha hiyo, mpaka kuna mida jicho likabadilika yaan nikimwangalia mtu ka narembua ,, jicho lina open nusu tu .. Yaani details ulizonipa ni za Msange kabisaaa
dah poti kwl unawaita maafand wenzio watoto mchele mchele? Anhaaa ebu tengua kauli bhana
hayo mapuzaa poti! Yan mxange ilikua macha sema kukesha ndo ha2kujila...bt course 2mepg hatar mpak kurut walivuta unadhan mchezo
Kweli nimetengua kauli Afande,,
Si Batch ya Kwanza Kambi zote tulijila, Ila waliopo sa hyiv Mdebwedo sana,, Krutu anaingia hadi facebook
haaa fb? Dah kuangushia kuangushia gan,hawa ndo wale wanatake cover kwny shamba la karanga poti