Maelekezo muhimu kutoka utumishi kwa wanaoomba ajira za ualimu

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,001
Reaction score
1,430
Ewe unayeomba ajira za ualimu hakikisha umefuata maelekezo na masharti kama yalivyoelekezwa na utumishi.

Barua yako ya maombi utie saini kwa mkono wako, jidanganye utumie adobe signature unaliwa kichwa. Address ya utumishi usikosee hata nukta, Certify vyeti vya taaluma kama ilivyoelekezwa.....
1721982593524.jpg
 
Ukikosea kidogo wanakutema
 
Alieandika hivi inakuwaje? Au na yeye ajiandae kuliwa kichwa

Katibu,
ofisi ya Raisi sekretarieti ya ajira katikati utumishi wauma,

S.L.P 2330,
SODOMA
OR

Katibu,Ofisi ya Raisi sekretarieti ya ajira katikati utumishi wauma,
S.L.P 2330,
SODOMA.
 
Ajiandae kuliwa kichwa TU maana sodoma mwenzie gomora sio utumishi
 
Alieandika hivi inakuwaje? Au na yeye ajiandae kuliwa kichwa

Katibu,
ofisi ya Raisi sekretarieti ya ajira katikati utumishi wauma,

S.L.P 2330,
SODOMA
OR

Katibu,Ofisi ya Raisi sekretarieti ya ajira katikati utumishi wauma,
S.L.P 2330,
SODOMA.
Sasa mkuu naona unazunguka sana na h ishu yako, kwan deadline c bado hvy unaweza kupaweka Sawa au ww unataka nn
 
Alieandika hivi inakuwaje? Au na yeye ajiandae kuliwa kichwa

Katibu,
ofisi ya Raisi sekretarieti ya ajira katikati utumishi wauma,

S.L.P 2330,
SODOMA
OR

Katibu,Ofisi ya Raisi sekretarieti ya ajira katikati utumishi wauma,
S.L.P 2330,
SODOMA.
Huyu asubirie huko Sodoma waipokee barua yake akaendelee kusodomika unapenda penda Sodoma
 
Kitu ambacho huna uhakika nacho n bora unyamaze tuu, mm naweka sign yangu kupitia app kwenye simu na nishafanya interview mbili.

Anyway, wekeni sain ya mkono
Piga ya kawaida achana na adobe editing
 
Kitu ambacho huna uhakika nacho n bora unyamaze tuu, mm naweka sign yangu kupitia app kwenye simu na nishafanya interview mbili.

Anyway, wekeni sain ya mkono
Jamaa anaongelea from point of kutishia watu Mimi nimeweka sign Kwa kutumia WPS Office hamna tofauti na ya Peni.
 
Wengi wanakosea kwenye title wanayoomba na hapo ndio wanaliwa kichwa.
 
SodomA mkuu afu na number ya postal umebadiri 2330 badala ya 2320

Back
Top Bottom