Maelekezo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) yaendelea kufanyiwa kazi

Maelekezo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) yaendelea kufanyiwa kazi

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
MAELEKEZO YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) YAENDELEA KUFANYIWA KAZI

Kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Newala Mkoani Mtwara imekamata mifuko ya Salfa ya unga 1230 inayodaiwa kwisha Kwa muda wake wa matumizi ilibaini Salfa hiyo chapa makonde bechi ya III kuuzwa Kwa wananchi.

Kwa mujibu wa katibu tawala wa wilaya hiyo Daniel zenda katika operesheni iliyoendeshwa wilayani humo hivi karibuni ni kupoke maelekezo ya Katibu wa Halmashuri Kuu ya CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka ya kuvita kaka vyombo vya dola kuchunguza na kubaini mfanyabisha na kampuni ambazo zinaujumu mpango wa ugawaji Pembejeo zinazotolewa bure na serikali ya awamu ya Sita Chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan.

Amefafanua kuwa katika hatua ya awali wamebaini Salfa kuwa na mabonge ambayo yanaiondolea sifa ya kutumika kwenye mikorosho

Zenda amewataka wananchi kutoa taarifa Kwa vyombo vya usalama pindi watakapobaini uwapo wa Salfa hiyo wilayani Newala.

Amewataka wakulima wilayani humo kuondoa hofu ya kusambaa Kwa pembejeo hiyo isiyofaa Kwa matumizi ya mikorosho na kwamba serikali ipo macho muda wote.
 

Attachments

  • IMG-20220608-WA0102(1).jpg
    IMG-20220608-WA0102(1).jpg
    34.4 KB · Views: 14
  • IMG-20220608-WA0103(1).jpg
    IMG-20220608-WA0103(1).jpg
    49.7 KB · Views: 12
  • IMG-20220608-WA0104(1).jpg
    IMG-20220608-WA0104(1).jpg
    52.6 KB · Views: 14
  • Screenshot_20220608-180721.jpg
    Screenshot_20220608-180721.jpg
    36 KB · Views: 11
Huko wote hawana akili zaidi ya ufisadi,mpka vyoo vya mashule wanaomba ufadhili miaka 60 wasimbe
IMG_20220331_001942.jpeg
 
Kazi nzuri sana
Ile safari ya Uingereza aliyotuahidi Mchungaji Gwajima kwetu vijana wa Kawe tunaenda lini Ndugu Juma Juma??maana uliishikia bango sana wakati wa Kampeni kwamba tumchague Gwajima[emoji1787][emoji1787][emoji1787]au imeota mbawa??maana sio kwa kumpigia Kampeni kule daaah[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom