barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Emencipate yourself from mental slavery. We unawaona wazungu kwenye TV basi unafikiri wako perfect kwa kila kitu. Wazungu ni binadamu tu nao wanamigogoro ya kifamilia au wanagombea mali kama sisi waafrika. Sio lazima kuishi na wazungu kujua hilo lakini ukiishi nao utajua kuwa wanamigogoro ya ajabu hata Afrika haiwezi kutokea.
Kaka hii sio stori ya upande mmoja
Kama ulifatiliaa kwa kina habari hizi
Hii ni stori ya upande wa pili
Kwenye mambo kama haya huwa kuna kuigiza upole, mtu anajifanya kama yeye ni mwema sana... Inawezekana wazazi na ndugu wana makosa, lakini hadithi imetiwa chumvi! Sijawahi kusikia popote mtu akiomba alipwe mshahara na ndugu... Hata siku moja!
Nielewavyo mimi mama amekulea ukiwa mtoto huna akili akakulinda mpaka umekua na kujitegemea!! hakuna ubaya nawe ukimlea akiwa kama mtoto!! no matter what!! udhaifu wake hauwezi kutangazwa kwenye mitandao.. hakuna ambacho mama hakijui kuhusu mtoto wake, anajua hadi nyeti zako wakati zinakua zilikuaje!!...kama kina mama wangekua wanatangaza mapungufu yetu sijui tungekua wageni wa nani!! ... hawa kina mama waachwe tuu hata akikutukana inamisha kichwa chini na sema samahani!!... wanatujua kuliko tunavyojijua!! mioyo yao imebeba mengi kuhusu sisi na hawatangazi!!...
Ahsante sana kaka!
Ipo kasumba moja kuhusu sisi, kutojikubali na kuona kila kitokacho Magharibi ni chema... Huko ni kawaida mtu kumfukuza nyumbani mtoto akifikisha miaka 18, na kupeleka wazazi kwenye vituo, wakiugua maradhi, uzee na zaidi upweke unaotokana na kuachwa na watoto wako wa kuwazaa!
Kiafrika ni wajibu, na ni lazima kuwatunza ndugu na wazazi, ikitokea umeyapatia maisha kwa maana lazima nao wana mchango wao katika hilo.
Kuna wakati home tulikula mlo mmoja ili kaka na dada wasome vizuri chuo, leo wamebutua ni wajibu wao kutushika mkono hadi nasi tujitegemee na kuwapokea baadhi ya mizigo kama kulea wazazi na kadhalika!
Najivunia utamaduni wetu!
lakini hatujasema tenda wema ili ulaumiwe!
FaizaFoxy hili saga miaka yote io tunasikiaga upande wa walalamikaji tu,dada mara mama mara kaka n.k zaidi yakujibu kiwestern Emma alikuwa ajawahi kujibu kwa kina na mkasa mzima,sasa leo upande wake yani yeye kajibu still mnataka upande wa pili kuusikia?au mnataka wa tatu jama...maana wa kwanza wa family members tumewasikia sana otherwise saga hili kama ulikuwa nalo mbali,ajabu pamoja na yooote ayo Emma anasema na anamthamini mama yake na familia yake,Drogba kamshauri dada na bro wapate kazi yakufanya ikibidi ya ajira,watapoa...seems baaado ana ithamini familia yake,wao bado wana ambaaa na media,wameenda media za Hispania,UK n.k sasa wakaweka base yao media za Ghana,ndio mwandishi OBAMA akalivagaa saga nae katoa shit saaana,ndio mwanaume katoka chimbo kajibu kifupi na kirefu pia...Inabidi tuanzie hapa? natamani ningesikia na upande wa pili wa hii hali.
Kwenye mambo kama haya huwa kuna kuigiza upole, mtu anajifanya kama yeye ni mwema sana... Inawezekana wazazi na ndugu wana makosa, lakini hadithi imetiwa chumvi! Sijawahi kusikia popote mtu akiomba alipwe mshahara na ndugu... Hata siku moja!
'SEA, I severely criticized you yesterday. As a journalist, I wrote a story when your family invaded Peace FM last year. I also thought their story was sad. But upon reading all this from you, and realising that this whole thing started long ago, I SAY
A BIG SORRY BROTHER.
clearly your family is there to ruin your life by living lavishly on your wealth without wanting to do anything. Apparently they have lived in poverty for a long time and so your shot to fame and richness came as a shock to them and they're dazed with the monies they read and hear in the media that you make, and want all for themselves.
Some African families are just bad, petty and ungrateful. Some are just lazy,and so even for you reaching this height and making the family proud, they think you got here easily. African families are basically the reason why most African footballers don't make it to the top.
I',m very sure about that. In the normal family standards and as it is in Europe, you should be spending your money on your wife, kids and charity BUT not your family. It is only within your jurisdiction and humility to help them but that is not compulsory.
Rio Ferdinand is one of the richest footballers in the World. His wife died and Ive not heard the family accusing him of not saving her with money because he aint God.
President's have seen their sons die young, they can't save them with money so why should your family accuse you of not doing enough to save your brother? Cristiano Ronaldo lost his dad, nobody has accused him of neglecting his dad. Western Families don't depend on people who have risen to fame for livelihood.
And so these guys there have absolute concentration. INTERESTINGLY, your sisters are suppose to be married and having life with their husbands now.
Why do they have to behave like being married to you? Emmanuel Adebayor, I think you have tried even sustaining at this level with all these issues for all these years. Any other star would have been hit down low with these distractions by now I tell you. You have a strong heart brother. You are blessed. I won't accuse your family because they are not mine.
But you don't belong to them alone now. you belong to the whole of Africa, specifically Ghana and Togo. We will help you to live. Don't neglect them completely. Talk to those who wanna talk to you. Keep playing your game and let those who want to destroy you have their way. GOD is the ULTIMATE JUDGE.
Sorry that I criticised you yesterday. Sorry again bro. Thank God that you have opened up on this
Nimeona mgogoro wa kifamilia wa kizungu ambao Tanzania hauwezi kutokea. Nina rafiki yangu mmoja wa kike, baada ya baba yao kuachana na mama yao, yeye na kaka yake hawakutaka mawasiliano nae tena mpaka wakapelekewa habari za msiba. Wote walikuwa wanaishi Rotterdam, huyu mzee aliendelea na maisha yake, akakutana na mwanamke mwingine akazaa watoto mpaka wanakua hawakuwahi kukutana jinsi walivyokuwa na hasira. Mpaka baba yao alivyokufa wakapelewa habari za msiba ndio wanakutana na ndugu zao kwa mara ya kwanza. Sasa wangekuwa weusi, wangesema waafrika hawana akili.
kaka hujawahi sikia ndio umesikia sasa achana na ndugu kabisa omba Mungu isijetokea kwako.
mbona upande wa pili tumeshausikia sana, kwamba amemfukuza mama yake, kwamba anamwita mchawi, kwamba hasaidii familia, n.k?Inabidi tuanzie hapa? natamani ningesikia na upande wa pili wa hii hali.
Habari ya adebayor kugombana na familia nimeisikia siku nyingi hasa chanzo ni dada zake na mama yake. Kwa jinsi ya hiyo stori napata picha sasa. Mwanzoni EMA alikuwa analalamika mama yake na dada zake wanamloga. Familia za AFRIKA HAZIPISHANI. UKIWA NA MKWANJA kila atataka msaidie kwa lazima hata kama undugu wenu ni wa kugandisha na gundi.
Tuna laana sawa lakini familiar ya huyo jamaa wamezidi aisee, that's too much...