Maelezo binafsi ya Emmanuel Adebayor kuhusu mgogoro wake na Familia yake

Maelezo binafsi ya Emmanuel Adebayor kuhusu mgogoro wake na Familia yake

It is a disgrace to be an african. hii familia ina roho ya kauzu. wapendweje?
 
Mpka unaona jamaa kaamua kushare family matters kama hzi jua kabsa jamaa kachoka,waafrika tunamatatizo sana,inavyoonekana adebayo katoka kwenye familia ya kimaskin sana na walitegemea makubwa sana kutoka kwake lakn ikawa tofauti.

lakini bado kawafanyia mengi ila hawana shukrani. nimesikitishwa na kitendo cha kutaka kila mmoja wao ajengewe nyumba na kulipwa mshahara kama njia ya kutatua family matters! .walipwe mshahara kwa kazi ipi? ama kweli umasikini hudumaza akili. miafrika ni mijitu ya ajabu sana.
 
Eti dada yake anataka ampeleke Ulaya,ulaya akafanye nini sasa?Adebayor kaenda ulaya kwa juhudi zake,huyo mdada nae si afanye juhudi zake aende ulaya?Kwani lazima Adebayor ampeleke?Inasikitisha watu hawafanyi kazi wanamuangalia mtu mmoja tu,yeye anawork hard kuziinginza hizo pesa,si na nyie mu work hard jamani,tena kishawapa za kuanzia ila bado mnatapanya maana mnajua atawapa ingine,kazi yenyewe soccer ukifikisha miaka 30 tu umeshaanza kuchoka,na usiposave na kuinvest basi utarudi kwenye umaskini baada ya kustaafu soccer
 
Sema dogo katisha, wachezaji 27 kawaibia simu wachezaji 21, yaani ilibaki wiki mbili tu alambe mpaka kilongalonga cha kocha, watoto wa uswahilini tabu sana.
 
Hii story imenigusa sana, kuna wakati inafika unajiuliza kama umezaliwa kusaidia watu na pamoja na jitihada kubwa unazofanya ndivyo matatizo yanazidi kuongezeka na lawama, it's like you're gifted & cursed at the same time... Kuna wakati unaweza kuomba hata upotee tu, familia za kiafrika ni shida sana.

ikitokea ukawa na kauwezo kidogo tu na umezaliwa familia masikini ni SHIDA kuliko watu wengi wanavyoweza kudhani. utatunza extended families mpaka ukome...
 
Huyo Mama yake yawezekana ikawa hana tatizo lolote dhidi ya Mwanae Adebayo ila huyo Mama itakuwa anajazwa upepo wa fitina na Watoto wake mavivu(Ndugu zake Adebayo).

UPANDE WANGU. Baba yetu alikuwa anaishi kijijini kwetu basi ilikuwa haipiti wiki naambiwa mzee anaumwa sana hivyo pesa inahitajika haraka sana, nikitaka kuongea na mzee ndugu zangu wanakataa kuwa sasa kalala. Mara nita ambiwa kuwa mzee leo hajala chochpte hela hakuna kabisa niwaambiwa kuwa nitatuma kesho....hilo ni kosa kubwa ndugu wanawaka balaa. Ili kuongea na mzee ilibidi kutumia simu ya Jirani na baada ya kuongea nae anasema ma bro wanaongeza chumvi story zao nyingi ni za kutunga. Kukata mzizi wa fitna niliamua kumchukua mzee na kuishi nae hapa kwangu ni Miaka 2 sasa maisha yanakwenda bila msongo toka kijijini(hata kumchukua mzee haikua nyepesi ma bro waligoma).

USHAURI KWA ADEBAYOR... yy aamue kumchukua huyo mama yake aishi nae na awe sehemu ya familia yake, hao ndugu zake aachane nao
 
sipendi kudharau utu wangu kwa kusema waafrika tunamatizo wakati sijaenda ulaya kuishi na kujua tabia za huko je ni zote zinazoandikwa ni njema kuliko zetu? ukijidharau utadharauliwa tu
 
Jamaa ndo maana alikuwa anashuka Kiwango kwa stress za familia yake...bora awe kama Diamond alivyomtosa baba yake.
 
Huyo Mama yake yawezekana ikawa hana tatizo lolote dhidi ya Mwanae Adebayo ila huyo Mama itakuwa anajazwa upepo wa fitina na Watoto wake mavivu(Ndugu zake Adebayo).

UPANDE WANGU. Baba yetu alikuwa anaishi kijijini kwetu basi ilikuwa haipiti wiki naambiwa mzee anaumwa sana hivyo pesa inahitajika haraka sana, nikitaka kuongea na mzee ndugu zangu wanakataa kuwa sasa kalala. Mara nita ambiwa kuwa mzee leo hajala chochpte hela hakuna kabisa niwaambiwa kuwa nitatuma kesho....hilo ni kosa kubwa ndugu wanawaka balaa. Ili kuongea na mzee ilibidi kutumia simu ya Jirani na baada ya kuongea nae anasema ma bro wanaongeza chumvi story zao nyingi ni za kutunga. Kukata mzizi wa fitna niliamua kumchukua mzee na kuishi nae hapa kwangu ni Miaka 2 sasa maisha yanakwenda bila msongo toka kijijini(hata kumchukua mzee haikua nyepesi ma bro waligoma).

USHAURI KWA ADEBAYOR... yy aamue kumchukua huyo mama yake aishi nae na awe sehemu ya familia yake, hao ndugu zake aachane nao

sasa Adebayor amefanya kinyume!! hakufanya kama wewe!! Yeye anautangazia ulimwengu kuwa familia yake imejaa upuuzi yaani anatoka kwenye kizazi kilichojaa wapuuzi!! kwa kifupi anataka dunia impuuze mama yake mzazi!!shame!
 
Mkuu, inaelekea hii issue hujaipata vizuri, au ungerudia kusoma pale juu kwenye maelezo yake kagusia kidogo. Nini kimepelekea Adebayor kuandika huu waraka na kuutuma kwenye social media?...
Miezi michache nyuma, gazeti la The Sun la Uingereza liliandika habari za mgogoro wa kifamilia wa huyu bwana. Kaka wa Ade ndio alikuwa sterling katika ule mchezo, yeye alichukua hela kwa The Sun akampaka matope vya kutosha, na habari nyingine tulizisoma humu humu JF labda wewe hukubahatika kuziona. Baada ya ile habari dunia nzima pamoja na wanachama wa Jamii forums wote, nikiwemo mimi mwenyewe, walikuwa against Adebayor. Tulimjaji moja kwa moja bila kusikia story kutoka upande wake, sasa wewe unataka akae kimya unafikiri tungejuaje ukweli?

Haya mambo ya kusema wazazi wametuzaa, sio wote wanafanana na wa kwako wewe. Shukuru umepata bahati, lakini huu ulimwengu umejaa wazazi mabandidu huwezi kuamini. Wapo ambao wanafikia hatua ya kuwatia upofu watoto wao ili wapate hela.

alitakiwa kukanusha na si kuutangazia ulimwengu kuwa familia yake imejaa wachawi na wezi!!...akiwemo mama yake!

Hata Gigs za ndugu yake walichukuliana mke lakini hatukuona kashfa kwenye mitandao!!.. Joh Tery Baba yake ni hovyo kupindukia lkn akiikngia FC Terry hasemi kitu kuhusu Mzazi wake!! Kuwa na ndugu hovyo au mzazi hovyo haimaanishi kuwa Ulimwengu unatakiwa kujua kuhusu hilo!!...
 
Adebayor amekanusha ki western kama unavyotaka wewe karibu mwaka huu. Amekuwa kimya kipindi chote, hawa watu waliandika mpaka barua afukuzwe kazi. Wanachofanya sasa hivi ni kuchukua pesa kwenye media ili wamseme vibaya magazeti, TV na mitandao vifanye vibaya, na kila mtu alishawaamini maneno yao, wewe kama umeng'ang'ania kwamba katangazia ulimwengu huo ni mtazamo wako. Kwa upande wangu mimi ameelezea ukweli juu ya shutuma anazotupiwa na ndugu zake. Bye bye!
 
Mkuu tupo pamoja.
Me mwenyewe mtu asiniletee ujinga hapa kupitia mafanikio yangu, kwa hakika nampa mistali any where without fear.
Adebayor amekanusha ki western kama unavyotaka wewe karibu mwaka huu. Amekuwa kimya kipindi chote, hawa watu waliandika mpaka barua afukuzwe kazi. Wanachofanya sasa hivi ni kuchukua pesa kwenye media ili wamseme vibaya magazeti, TV na mitandao vifanye vibaya, na kila mtu alishawaamini maneno yao, wewe kama umeng'ang'ania kwamba katangazia ulimwengu huo ni mtazamo wako. Kwa upande wangu mimi ameelezea ukweli juu ya shutuma anazotupiwa na ndugu zake. Bye bye!
 
Eti dada yake anataka ampeleke Ulaya,ulaya akafanye nini sasa?Adebayor kaenda ulaya kwa juhudi zake,huyo mdada nae si afanye juhudi zake aende ulaya?Kwani lazima Adebayor ampeleke?Inasikitisha watu hawafanyi kazi wanamuangalia mtu mmoja tu,yeye anawork hard kuziinginza hizo pesa,si na nyie mu work hard jamani,tena kishawapa za kuanzia ila bado mnatapanya maana mnajua atawapa ingine,kazi yenyewe soccer ukifikisha miaka 30 tu umeshaanza kuchoka,na usiposave na kuinvest basi utarudi kwenye umaskini baada ya kustaafu soccer

Yani i really wish i was Adebayor cz its like ningewanyoosha adabu hao watu. I swear to God wasingekula hata tsh 100 yangu nakwambia isipokua wazazi tu na nitawapa ya kuwatosha tu sio in excess alaf ningeangalia nani ataniambia kitu na atanifanya nn.

Na wakashtaki kokote wanakojua wao. My children nd wife wakinitenga kidogo nitaumia ila ndugu ??? Fu*ck to hell wit them.

Yani mi mtu akijaribu get in my pockects kinguvu i tend to turn extremely bitter....hata mwanamke wangu analijua hilo fika. I am a man wit a big heart, i kno what my family nd children needs to make them happy bila ya kusukumwa na mtu or anything.
 
Ila familia zetu za kiafrika zina matazizo sana..japo am proud kuwa mwafrika
 
Back
Top Bottom