Maelezo jinsi Mke wa Bilionea Msuya alivyomuua wifi yake yasomwa mahakamani

Hizo story za "Cleaners" huwa ni story za Movies tu na kwenye vitabu...Ulikuwa unasoma vitabu vya "James Hadley Chase"? Ki-Uhalisia kufanya hivyo sio kitu rahisi kama unavyodhani...
 
Ila kumbuka kuwa "Even a very well planned murder can go astray" (JHC). Hata mauaji ambayo yamepangwa vizuri sana, kuna uwezekano mambo yakaenda kombo. Waweza kukuta kitu kidogo sana ambacho hata hamkukitilia maanani kinakuja kuwaumbua.
 
Ila kumbuka kuwa "Even a very well planned murder can go astray" (JHC). Hata mauaji ambayo yamepangwa vizuri sana, kuna uwezekano mambo yakaenda kombo. Waweza kukuta kitu kidogo sana ambacho hata hamkukitilia maanani kinakuja kuwaumbua.
Crime yoyote ile lazima itaachaa alama yoyote ile nyuma, ambayo ndiyo itaiibuwa kila kitu cha sirini, labda Wapelelezi wawee wazembe tu!!
 
umejuaje kuwa hajakamatwa mtu?
Kuna wauaji professional..

Kwa Hawa popolisisi wetu .. ..wanaachwa gizani.. ..

Haachi alama na hakamatwi Ila hayupo mbali.. ..

Kuna mtu kakutwa kauawa..mpaka kesho hajakamtwa mtu.. ..

Mifano ipo mingi wanakamatwa mabogoz tu!
 
Yule Mke wa Msuya alimuua hawala wa mume wake, ndio Msuya huyu huyu au ni wanaukooo?
 
Kufanya kazi na mwanamke matokeo yake ni hayo
 
Crime yoyote ile lazima itaachaa alama yoyote ile nyuma, ambayo ndiyo itaiibuwa kila kitu cha sirini, labda Wapelelezi wawee wazembe tu!!

Kuna crime alama zinaachwa on purpose kwa ajili ya kuvuruga uchunguzi.. kuna fake evidences zinakuwa planned kuachwa kwenye crime scene on purpose.

Jaribu kugoogle au kasome quora utakutana na former police wa nchi kibao majuu, fbi, mossad etc uone wanavyoelezea perfect crimes ambazo wamewai kukutana nazo kwenye maisha yao ya kazi zao. Kuna murders zinapangwa kibabe sana. Evidence za kukusaidia uchunguzi huachiwi. Ila unaachiwa evidence za kukuvuruga na kukuchanganya kwenye uchunguzi ili wawapotezee muda tu
 
Umetisha man, sijui ni wavivu kusoma na kukubaliana na fact au vip! Zipo unsolved case kibao na ukifuatilia utagundua kuwa mhalifu alikua makini sana na alichokua anakifanya.

Ni kweli zipo wanazokuja kukamatwa hata baada ya miaka mingi kupita ila kwa hili la hyu aliyetekekeza mauaji ya wifi yake ni mzembe sana...early sign za kuacha huo mpango wake zilijitoleza mwanzon kabisa toka alipokutana na binti wa kazi. Pia na relationship aliyokua nayo kat ya yy na ndugu wa mme wake kama yangetokea mauaji ya kifala hvyo lazima angelengwa yy kama suspect!
 
Crime ya namna hii lazima itakua na mkono wa Inside job! Ndiyo kidogo zinakuwaga ngumu ku solve!!
 
Crime ya namna hii lazima itakua na mkono wa Inside job! Ndiyo kidogo zinakuwaga ngumu ku solve!!

Kuna proffessional killers duniani.

Kuna bosi wa usalama wa taifa ya uingereza anaitwa Gareth Williams. Alikuwa kichwa sana na mpelelezi hatari sana.

Mwaka 2010 kuna Wahuni walienda kumuua nyumbani kwake na mpaka leo haijulikani ni nani na wala aliuliwa kwa kutumia nini? Kifo kilikuaje haieleweki

Maiti yake ilikutwa bafuni kwake ikiwa uchi imewekwa ndani ya begi na begi kufungwa kufuli kwa nje... bila Dna yeyote kuachwa sehemu yeyote.

Ghorofa alilokuwa anaishi lina cctv camera zilizimwa kwa muda then zikawashwa bila kujulikana ni mbinu gani ilitumia kuzizima hizo cctv .

Polisi wa uingereza pamoja na usalama wa taifa wao MI6 walijitahidi kuchunguza wakashindwa wali declare kwamba hii ni perfect murder . Toka 2010 mpaka leo ni unsolved case.
 
Ana roho ngumu sana, sijui anawezaje kuua kwa sababu ya mali ambazo hata yeye atakufa ataziacha

Tunahitaji rehema za Mungu maana binaadamu tumekua kama wanyama
 
Inawezekana kabisa na mpaka jamaa kweny wosia kuweka picha asilimia fulani wapewe wazazi na ndugu zake palikuwa na tatizo ye na na mkewe inaonekan
Huyu mama ni muuaji toka kwa mmewe maana huyo marehemu mwenyewe aliuwawa na ona nadhani kulikuwa na timbwili ndio maan ahata akaandika wosia mapema tuu acha aipate hapati urithi na wala hatakaa awe huru milele....................
 
Aaha hiki kweli mkuu yani Ukisema udili na evidence unayoikuta tu pale kwenye tukio wengi watafungwa bila hatia..!! Lazima uwekw chain ya event na kulink mambo vizuri..
 
Hatari sana aiseee...
 
Mbona hata huyo mwanamke sio mchaga? Ana asili ya Singida
Uovu ni tabia ya mtu binafsi
 
Huyo binti alipewa hela ili aondoke akaenda kisarawe huko. Wao wakaja kufanya mauaji ili ionekane yule binti ndo kaua halafu kakimbia. Ukipata muda fuatilia huu mkasa vizuri utapata picha kwa ukubwa.
Kwa hiyo binti ndio alisakwa akawataja?
 
Kulikuwa hakuna haja ya kumhusisha housegirl na kuongeza idadi ya vifo vya innocent
Huyo walitakiwa kumsoma mienendo na ratiba zake kama mwezi hivi, kisha wanamlia timing na kumaliza hesabu

Halafu utamuuaje mtu kwa kumchinja kama kuku? Hapa inazidisha chance ya kuacha alama na pia kelele nyingi

Anyway hizi ni movie tu tunasumulia wazee msije kutuona wauwaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…