Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia hadi chupa huko down[emoji26][emoji26]Marehemu alikufa kifo kibaya sana kuna fununu walimbaka na kumlawiti b4 kumuua
Mtoto wa Anneth?Nw ni mkubwa hakosi 12yrz ,baba yake ni mrombo
Huyo Revo alikuwa analikaza hilo shangingi?Huyu kamuua wifi yake yeye na watu aliopewa na revocatus,huyo revo ni mtu naejuana nae vizuri sana na hiyo wiki ametoka kuua nlimkuta bar flani akinunua pombe kwa fujo....ndio bdae nkajua ni pesa ya damu kachinjwa mtu
Ukweli usemwe hawana utu nasaba yao na asili ni ukatili kweny pesa kitaa kuna bro bro alifilisiwa na ndugu wa mke hadi watoto wameondoka nao jamaa Kawa broke kinoma ya ameanza upya katafuta kabinti cha handeniwanawake wa kaskazini,ukiwa na mbumba be very careful,anytime you gonna lost!!, Kuna jamaa angu R.I.P tulioa familia moja ,ndo hivyo tena!! Kilimanjaro wanawake wa kule,sijui ka laana gani kamewakalia aise!!! Msinione mbaguzi lkn ukweli mtupu!!
Wanawake ni wepesi Sana japo wanataka makuuHuyu mama atakwenda condem tu hii
ml kesi iko wazi sana
Huo mpango wa mauaji ulivyosukwa unaona wazi kabsaa hao watu hawana uzoefu na mambo hayo ni kama wale waliomuua mume wake pia walikurupuka hii kesi tayari hukumu yake ipo wazi ni kunyongwa tu pia familia imegawanyika watoto wapo upande wa wajomba mambo ni shaghalabala tu.
Hii wanawake wengi ndio uwawekea waume zao Ili wabakie na maliKuna sumu unaeza ua mtu pole poleeeee sio kuchinjana
Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Akili yake ni kama jack wa mengi,Umeachiwa 60% na Mali kibao, zingine umebadilisha Jina zimekuwa Mali yako, bado unaenda kutoa mtu roho, karma is real angalia sasa unaozea jela...
Wa hivi wengi huwa ni ajenti,kwa maana ya shetani kavaa mwili wa mtuSijui hata, Miguel Trevino, unaambiwa alikuwa halali pasipo kuua mtu. Yani inakadiliwa kaua watu 160,000 either kwa maelekezo yake na wengine kwa mkono wake mwenyewe. Haonekani kujuta, na mbaya zaidi kafungwa tu miaka 15.
Shetani anajua kusingiziwa sana. Hawa macartel drug lords mexico ni watu wa kanisa sana na wakifa wanazikwa kwenye mahekalu yamejengwa kama makanisa yakiwa na misalaba mikubwa.Wa hivi wengi huwa ni ajenti,kwa maana ya shetani kavaa mwili wa mtu
Huyo hana nafsi,nafsi yake kauza kwa shetani.Mtu mwenye nafsi hawezi ua mtuShetani anajua kusingiziwa sana. Hawa macartel drug lords mexico ni watu wa kanisa sana na wakifa wanazikwa kwenye mahekalu yamejengwa kama makanisa yakiwa na misalaba mikubwa.
Jamaa anauliza hivi kwa hawa watu wote ulioua unalala kweli.
Eti anajibu as long as siwajui, sio ndugu wala mtu wa karibu haina shida ni sawa na kuua mnyama tu.
😂😂
At the end ni lazima ukamatwe tu damu nyingi zina password utakamatwa tu.Ukiwa na pesa kila kitu unachokifanya kinakuwa cha gharama kwel,20 mil yote hyo,wakat kuna watu wanaua kwa laki 5 na alama hawaachi