Maelezo juu sheria ya ajira tanzania

Maelezo juu sheria ya ajira tanzania

enstein1

Member
Joined
Jul 14, 2009
Posts
68
Reaction score
29
Waheshimiwa,

Naomba msaada wa ufafanuzi juu ya sheria ya ajira ya Tanzania inasemaje juu ya mtu anaeumia kazini au kuugua kwa muda mrefu, je malipo yake yanatakiwa yawe yapi na ni wajibu wa nani?

Nitafurahi kupata michango iliyoshiba sababu nataka kusaini mkataba na kipengele hiki kinanipa tabu kidogo!

Thanks.
 
Peleka kwenye jukwaa la sheria utajibiwa haraka sana!
Huku sio penyewe.
 
Back
Top Bottom