Penguin-1 JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 406 Reaction score 65 Jun 23, 2013 #21 Nazidi kuelewa mambo mengi...
Mandingo JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 4,515 Reaction score 3,948 Jun 24, 2013 #22 Huu uzi nime upenda!
B bagain JF-Expert Member Joined Jul 21, 2011 Posts 363 Reaction score 229 Jun 24, 2013 #23 hii ndo elimu ambayo si rahisi kuipata vyuoni.
CHOVELA Member Joined Jan 24, 2011 Posts 37 Reaction score 6 Dec 4, 2014 #24 Katika pitapita za kujifunza kuhusu hii mambo nikakutana na huu uzi. Asanteni wakuu. Hapa nimejifunza mengi
Katika pitapita za kujifunza kuhusu hii mambo nikakutana na huu uzi. Asanteni wakuu. Hapa nimejifunza mengi
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,655 Reaction score 2,506 Dec 4, 2014 #25 Pia muhimu kujua kuwa LTD unakuwa wewe na kampuni ni vitu viwili tofauti, madeni ya kampuni sio madeni yako. Sole proprietorship wewe na kampuni kitu kimoja na madeni ya kampuni ni yako so LTD inaprovide ulinzi.
Pia muhimu kujua kuwa LTD unakuwa wewe na kampuni ni vitu viwili tofauti, madeni ya kampuni sio madeni yako. Sole proprietorship wewe na kampuni kitu kimoja na madeni ya kampuni ni yako so LTD inaprovide ulinzi.