Maelezo kidogo: Sole proprietorship Vc limited company.. kipi bora?

Maelezo kidogo: Sole proprietorship Vc limited company.. kipi bora?

Katika pitapita za kujifunza kuhusu hii mambo nikakutana na huu uzi. Asanteni wakuu. Hapa nimejifunza mengi
 
Pia muhimu kujua kuwa LTD unakuwa wewe na kampuni ni vitu viwili tofauti, madeni ya kampuni sio madeni yako.
Sole proprietorship wewe na kampuni kitu kimoja na madeni ya kampuni ni yako so LTD inaprovide ulinzi.
 
Back
Top Bottom