Maelezo kuhusu Josiah kibira

Maelezo kuhusu Josiah kibira

Charles Elias

Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
61
Reaction score
4
Jaman naomba msaada,kuna jamaa yangu ame b admitted in bach of arts with ed at josiah kibira ila haelewi tarehe ya kuripoti,chuo kinapatikana wapi,website ya chuo na jinsi ya kupata joining instructions. Kwa anayefaham naomba amsaidie jamaa kuhusu maelezo hayo ya hiki chuo.Ahsanten!
 
Kwa kukusaidia zaidi ni kwamba kipo kagera na ni branch ya tumain university..
 
Back
Top Bottom