Habarini wakuu!
Naombeni mnifahamishe kuhusu kozi za majengo na kodi ya ardhi(land tax)
Mfano: mtu una nusu heka na kanyumba labda ka thamani ya 30 million na upo kwenye eleo la makazi ya watu...kodi hizo mbili zinakuwaje,sina uelewa ndiyo maana naomba mchango wenu,naogopa kuibiwa![emoji125]
Utasababisha watu wasimilki ardhi, hiyo 10% ni kama umeuza ardhi yako hivyo 10% ya ela uliyouza ni kodikwa mwaka unalipa 10% ya thamani ya nyumba..hii nikwamjibu wa TRA
Hapana haiwezi kuwa hivyo, haiwezi kuzidi 0.3% ya thamani ya jengo. Maeneo mengi inatozwa kati ya 0.005% hadi 0.1% ya thamani ya jengo.kwa mwaka unalipa 10% ya thamani ya nyumba..hii nikwamjibu wa TRA
Inategemea na mkoa na halmashauri uliyopo, kodi ya jengo huwa ni kati ya 5,000 mpaka 20,000 kwa maeneo mengi ya ardhi (ukiondoa wale wenye mahekalu) alafu kodi ya ardhi nayo huwa between 11,000 mpaka 20,000. Kwahiyo kwa mwaka usihofu unaweza ukalipa kiwango kischozidi 50,000 kwa jengo na kiwanja (kiwango cha juu hiki mkuu nilichokupa)Blaza mbn hapa unanipanikisha,sasa hapa watu si watauza nyumba zao ...duuh!
Kodi ya Ardhi (Land Rent) ni ada ya kukodi Ardhi Serikalini. Nchi yetu inatumia mfumo wa lease hold, hivyo wamiliki wote wa Ardhi ni wapangaji mwenye Ardhi ni Serikali.Habarini wakuu!
Naombeni mnifahamishe kuhusu kozi za majengo na kodi ya ardhi(land tax)
Mfano: mtu una nusu heka na kanyumba labda ka thamani ya 30 million na upo kwenye eleo la makazi ya watu...kodi hizo mbili zinakuwaje,sina uelewa ndiyo maana naomba mchango wenu,naogopa kuibiwa![emoji125]
Kodi ya Ardhi (Land Rent) ni ada ya kukodi Ardhi Serikalini. Nchi yetu inatumia mfumo wa lease hold, hivyo wamiliki wote wa Ardhi ni wapangaji mwenye Ardhi ni Serikali.
Kodi ya jengo ni ada ya kumiliki Mali (jengo) anaitwa property tax.
Hizi ni kodi mbili tofauti.
Inategemea na mkoa na halmashauri uliyopo, kodi ya jengo huwa ni kati ya 5,000 mpaka 20,000 kwa maeneo mengi ya ardhi (ukiondoa wale wenye mahekalu) alafu kodi ya ardhi nayo huwa between 11,000 mpaka 20,000. Kwahiyo kwa mwaka usihofu unaweza ukalipa kiwango kischozidi 50,000 kwa jengo na kiwanja (kiwango cha juu hiki mkuu nilichokupa)
Mazee shukran sana...nimepata kidogo hope na ujasiri kidogo....also mr. Jodoki eb nielezee kidogo kwa wenye mahekalu.[emoji120]Hapana haiwezi kuwa hivyo, haiwezi kuzidi 0.3% ya thamani ya jengo. Maeneo mengi inatozwa kati ya 0.005% hadi 0.1% ya thamani ya jengo.
Ndo maana Lukuvi ametangaza kufikia June wananchi wakaandikishe ardhi zao ili waweze kupewa hati na serikali ianze kukusanya chakeKodi ya ardhi zamani walikuwa wanalipa walioko kwny maeneo yaliyopimwa, kwa sasa sijui kama utaratibu ni ule ule au. Kodi ya nyumba inategemea na aina ya nyumba, thamani, eneo iliyopo na pia matumizi mfano biashara au makazi kama Arusha nimelipa kodi ya mwaka jumla 70,000 kwa nyumba 2 za kupangisha (self ya rm 2 na 3) Nyumba ya kuishi nadhani 25,000(self rm 3)
Kimsingi kodi sio kubwa kivile, nilivyosema mahekalu nilimaanisha wakati mwingine kodi inatokana na maeneo uliyopo hasa yale ya wanene but all in all kodi sio kubwa kivileMazee shukran sana...nimepata kidogo hope na ujasiri kidogo....also mr. Jodoki eb nielezee kidogo kwa wenye mahekalu.[emoji120]
fano mie nyumba ina fence na ina vyumba 4 vya kulala nalipa 20,000 kwa mwaka sawa tu na mtu aliejenga chumba na sebule, kwa mikoa kama Mwanza, Arusha na Dar ambapo nyumba ni nyingi huwa ni flat rate ila mikoa mingine huwa unalipa kulingana na ukubwa wa nyumba yako na decoration ulizowekaKodi ya ardhi zamani walikuwa wanalipa walioko kwny maeneo yaliyopimwa, kwa sasa sijui kama utaratibu ni ule ule au. Kodi ya nyumba inategemea na aina ya nyumba, thamani, eneo iliyopo na pia matumizi mfano biashara au makazi kama Arusha nimelipa kodi ya mwaka jumla 70,000 kwa nyumba 2 za kupangisha (self ya rm 2 na 3) Nyumba ya kuishi nadhani 25,000(self rm 3)
Soma link hiyo mfano kwa ArushaNimefurahi kufahamu....kwa sababu kuna mtu namfahamu anaplan ya kuuza nyumba kwa sababu ya taarifa za uongo kuhusu hii issue ya kodi
acha masihara asilimia kumi unaitaja tu kirahisi.. Imagine nina nyumba ya 60 m. Nimepangisha na kodi ni laki nne kwa mwezi. Yaani itakuwa ni kama nyumba inamilikiwa na TRA si ya kwangu. PErcent ya kodi ni chini ya asilimia mojakwa mwaka unalipa 10% ya thamani ya nyumba..hii nikwamjibu wa TRA
Tumeshampa mwongozo mkuuacha masihara asilimia kumi unaitaja tu kirahisi.. Imagine nina nyumba ya 60 m. Nimepangisha na kodi ni laki nne kwa mwezi. Yaani itakuwa ni kama nyumba inamilikiwa na TRA si ya kwangu. PErcent ya kodi ni chini ya asilimia moja
Kodi ya nyumba uwa ni 0.15% ya thamani ya nyumba na ndio maana nyumba nyingi za zamani unakuta wanalipa Tshs15,000.Hapana haiwezi kuwa hivyo, haiwezi kuzidi 0.3% ya thamani ya jengo. Maeneo mengi inatozwa kati ya 0.005% hadi 0.1% ya thamani ya jengo.