Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,723
- 7,408
Huyo atakuwa ajajenga nyumba. Amerithi nyumba ushindwe kulipa Tshs15,000 au Tshs 45,000 kwa mwaka. Na akiuza anarudi katika Umasikini wa kufa mtuuuNimefurahi kufahamu....kwa sababu kuna mtu namfahamu anaplan ya kuuza nyumba kwa sababu ya taarifa za uongo kuhusu hii issue ya kodi