Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Taratibu jamii inaanza kuelewa jinsi Nyerere alivyokuwa akiwafanya mababu zetu manyumbu kwa mafundisho yake ya kijinga.Bongo, mwenge ndio unaleta amani penye chuki. Huu ni uwongo dhahiri nyerere aliwadanganya wazee wetu
andikia uzi mahususi na uje na maelezo ya kina jukwaani gentleman, itapendeza zaidi,Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah wana majibu
wababe mmekutana, ngoja tuwapishe mnyukaneandikia uzi mahususi na uje na maelezo ya kina jukwaani gentleman, itapendeza zaidi,
Hahahaha,tumaini pasipo na matumainiTaratibu jamii inaanza kuelewa jinsi Nyerere alivyokuwa akiwafanya mababu zetu manyumbu kwa mafundisho yake ya kijinga.
Mwenge unaletaje amani penye chucking?
Nchi imetawaliwa na giza totoro tangu uhuru hadi leo. Dar es Salaam maji sio ya uhakika, usafiri ni shida, huduma za afya ni mbovu. Huo mwangaza uko wapi?sio tu amani gentleman,
bali pia mwenge huleta mwanga paliko na giza miongoni mwa waTanzania wote
gentleman,Nchi imetawaliwa na giza totoro tangu uhuru hadi leo. Dar es Salaam maji sio ya uhakika, usafiri ni shida, huduma za afya ni mbovu. Huo mwangaza uko wapi?
Serikali haramu iliyoingia madarakani kwa kumwaga damu za vijana zaidi ya 10,000.gentleman,
huenda umehadithiwa tu, lakini ukweli ni kwamba huduma za afya, elimu, umeme, maji n.k ni bora zaidi wakati huu ukilinganisha na vipindi vingine vilivyopita.
usafiri wa anga, ardhini na majini ni wa uhakika wakati wote usiku na mchana.
Na haya yote yanafanyika chini ya serikali sikivu ya CCM kwa usimamizi wa Dr Samia Suluhu Hassan π₯
hiyo porojo ni useless gentleman, labda jaribu ingine πSerikali haramu iliyoingia madarakani kwa kumwaga damu za vijana zaidi ya 10,000.
Mkazima mitandao ili mjiapishe!
Ni porojo kwenu wauaji msiothamini damu za raia wenu. Na laana hii itakutafuna wewe na vizazi vyako vyote.hiyo porojo ni useless gentleman, labda jaribu ingine π
πππSimna kusanyika na usiku mnacheza ngoma na kuushangilia mwengeTaratibu jamii inaanza kuelewa jinsi Nyerere alivyokuwa akiwafanya mababu zetu manyumbu kwa mafundisho yake ya kijinga.
Mwenge unaletaje amani penye chucking?
Bond ya kichawi, mnasahau mambo ya muhimu mnabaki tu kusema, zidumu fikra za mwenyeketiπππSimna kusanyika na usiku mnacheza ngoma na kuushangilia mwenge
Mikusanyiko kama hiyo Ina tengeneza bond πππ
hapo yupo hipoppotamus ndio kinga ya taifaVp ya hapa bongo ikoje?napenda kufahamu
more words please\hapo yupo hipoppotamus ndio kinga ya taifa