Please Deception nilikutumia PM naona upo busy sana,maelezo yako kuhusu HIV yanahitaji thread maalumu ili tuweze kusoma kuelewa na kuelimisha wapendwa wetu,tafadhali anzisha trhead mpya na pangilia accordingly,
Wazo zuri,ila nimeona nikitoa summary ya haya niliyosema kwenye uzi ule ule itakuwa vyema, kwa kuwa tukiweka uzi mwingine tutawapoteza wengine ambao walikuwa wanafuatilia toka mwanzo,na pia mijadala haitakuwa tofauti na hii ya sasa.
Kwa nini uanzie njiani, acha uvivu wa kusoma mnachosha sana, anzia mwanzo soma hata wiki nzimawazo zuri sana weka summary kwa sababu sisi tulionzia njiani inakuwa ngumu kupekua kurasa zote