Maelezo ya Deception yanahitaji special thread!

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,420
Please Deception nilikutumia PM naona upo busy sana,maelezo yako kuhusu HIV yanahitaji thread maalumu ili tuweze kusoma kuelewa na kuelimisha wapendwa wetu,tafadhali anzisha trhead mpya na pangilia accordingly,
 
Deception anakuja mkuu. bado anatafuta heading nzurii atokee nayo.
 
Last edited by a moderator:
Please Deception nilikutumia PM naona upo busy sana,maelezo yako kuhusu HIV yanahitaji thread maalumu ili tuweze kusoma kuelewa na kuelimisha wapendwa wetu,tafadhali anzisha trhead mpya na pangilia accordingly,

Wazo zuri,ila nimeona nikitoa summary ya haya niliyosema kwenye uzi ule ule itakuwa vyema, kwa kuwa tukiweka uzi mwingine tutawapoteza wengine ambao walikuwa wanafuatilia toka mwanzo,na pia mijadala haitakuwa tofauti na hii ya sasa.
 
wazo zuri sana weka summary kwa sababu sisi tulionzia njiani inakuwa ngumu kupekua kurasa zote
 
kuna jama juzi naye nili mkuta ubungo anaelezea ilo swalaha na mpaka na vitabu vya maelezo yake anauza 5000 jamani lisemwalo lipo na kama halipo basi laja lakini kiupande mwingine jamani hata picha kwa macho hamuoni na masikio kusikia kuwa watu. wanafarik kwa gonjwa hilo acheni jamani uelewa wa mtuu na mtuu upo tofauti sana tunatofautiana kimapokeo ya uelewa jamani.
 
wazo zuri sana weka summary kwa sababu sisi tulionzia njiani inakuwa ngumu kupekua kurasa zote
Kwa nini uanzie njiani, acha uvivu wa kusoma mnachosha sana, anzia mwanzo soma hata wiki nzima
 
Back
Top Bottom