Maelezo ya jumla kuhushu miwasho na tiba yake

Maelezo ya jumla kuhushu miwasho na tiba yake

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,814
Reaction score
2,738
Kuwashwa (Itching) ni hali ya kuhisi mchonyoto unaokera kwenye ngozi unaokufanya utamani kukuna sehemu iliyoathirika unaweza Kuwashwa sehemu fulani ya mwili pekee au mwili mzima

KUWASHWA HUSABABISHWA NA NINI?

Kuna sababu nyingi za Kuwashwa, ni pamoja na
  1. Kuzeeka kwa ngozi
  2. Kuvimba kwa ngozi kunasababishwa na mzio
  3. Magonjwa ya mabaka ya ngozi
  4. Maambukizi ya ngozi kama vile kuvimba kwa vinyweleo (Folliculitis) au maambukizi yanayo sababisha malengelenge
  5. Homa ya manjano inayo ashiriwa na ini kuvimba (Hepatitis-B)
  6. Maambukizi ya trikomonas ni Ugonjwa wa zinaa unaosababishwa na kimelea aitwaye Trikomonas
  7. Tatizo hili husababishwa na fangasi waitwao Candida dalili kuu ni Kuwashwa ukeni, kuvimba na kutoa uchafu mweupe kama maziwa, mtindi.
MIMEA DAWA

Miti shamba ikiwemo MSAKA(Cordia Monoica) hutibu kila maradhi yoyote na kugeuza hali hii ya Ugonjwa wa Muwasho mwilini na ukeni na kurejesha furaha kwa jamii.Andaa unga wake. unakunywa kijiko asubuh na jioni siku 7 kwa kikombe cha maji moto au chai. Unga tuloandaa pakti elf 25. Tuwasiliane kwa 0713 039 875

WhatsApp Image 2026-07-06 at 09.30.11.jpeg
 
Back
Top Bottom