Kuwashwa (Itching) ni hali ya kuhisi mchonyoto unaokera kwenye ngozi unaokufanya utamani kukuna sehemu iliyoathirika unaweza Kuwashwa sehemu fulani ya mwili pekee au mwili mzima
KUWASHWA HUSABABISHWA NA NINI?
Kuna sababu nyingi za Kuwashwa, ni pamoja na
Kuzeeka kwa ngozi
Kuvimba kwa ngozi kunasababishwa na mzio
Magonjwa ya mabaka ya ngozi
Maambukizi ya ngozi kama vile kuvimba kwa vinyweleo (Folliculitis) au maambukizi yanayo sababisha malengelenge
Homa ya manjano inayo ashiriwa na ini kuvimba (Hepatitis-B)
Maambukizi ya trikomonas ni Ugonjwa wa zinaa unaosababishwa na kimelea aitwaye Trikomonas
Tatizo hili husababishwa na fangasi waitwao Candida dalili kuu ni Kuwashwa ukeni, kuvimba na kutoa uchafu mweupe kama maziwa, mtindi.
MIMEA DAWA
Miti shamba ikiwemo MSAKA(Cordia Monoica) hutibu kila maradhi yoyote na kugeuza hali hii ya Ugonjwa wa Muwasho mwilini na ukeni na kurejesha furaha kwa jamii.Andaa unga wake. unakunywa kijiko asubuh na jioni siku 7 kwa kikombe cha maji moto au chai. Unga tuloandaa pakti elf 25. Tuwasiliane kwa 0713 039 875