Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Je ukisahau mzigo unaupata vipi?
Kuna njia mbili za kuweza kupata mzigo uliosahau, unaweza kuingia kwenye app, chagua 'Your trips', chagua ile trip uliyoifanya na ukasahau mzigo wako, chagua 'I lost an item', chagua 'Contact my dirver about a lost item', hapo utaweza kumpigia simu dereva husika ili uweze kupata mzigo wako.
Endapo ukishindwa kumpata, chagua 'I couldn't reach my driver about a lost item', hapo utaweza kupata msaada zaidi kutoka uber support
 
OFA! SAFIRI BURE SASA. Download app ya uber, ingiza promotion code ya ubertz05 ili katika safari yako ya kwanza upate punguzo la tsh 6200
 
kuna extra cost juu ya hili?
 
OFA! SAFIRI BURE SASA. Download app ya uber, ingiza promotion code ya ubertz05 ili katika safari yako ya kwanza upate punguzo la tsh 6200
 

Mkuu?Mimi nikiwa mmoja wa wateja wa uber, kwa niaba ya wengine, naomba kujulishwa juu ya ujanja unaofanywa na madereva wa uber , nasikia wenyewe wanaita “kutingisha dishi”. Hii ni nini? Najua tu kwamba madhara yake ni kwamfano, sehemu ya kulipia elfu 9 uber itasoma elfu 20 baada ya hilo dishi kutingishwa. Mimi hili nimeliona kwa rafiki yangu, alikuja kunitembelea hapa maeneo ya Victoria Dsm akitokea posta na uber ilisoma elfu 20 bei ambayo mimi hua nalipa nikitokea Victoria kwenda Airport . Maelezo tafadhali juu ya hili.
 
Mkuu endapo ukichajiwa gharama ya nauli ambayo unadhani si sahihi, nenda kwenye app yako na report. Ili kureport; fungua app yako, chagua 'Your trips', chagua ile trip uliyoifanya na ukazidishiwa nauli, chagua 'I had an issue with my fare', hapo toa malalamiko yako kwa ufupi, na yatajibiwa, ikiwezekana utarudishiwa gharama uliyozidishiwa katika mfumo wa uber credits
 
OFA! SAFIRI BURE SASA. Download app ya uber, ingiza promotion code ya ubertz05 ili katika safari yako ya kwanza upate punguzo la tsh 6200
 
OFA! SAFIRI BURE SASA. Download app ya uber, ingiza promotion code ya ubertz05 ili katika safari yako ya kwanza upate punguzo la tsh 6200
Chief mimi nimetumiwa msg kama nusu saa iliyopita "Uber code:7**9.If this wasnt you reply STOP to (415) 237-0403 to unsubscribe." tatizo ni kwamba sio mimi nilie aplly na shida iliyopo hiyo namba nikituma msg kustop haiendi msg failed tafadhali nielekeze nafanyaje ili kuaccess msg ya kustop
nb:nimejaribu pia kuweka +415 lakini napo imefail
 
Wakuu naombeni ushauri wenu. Kwa wale ambao wazoefu wa biashara ya Uber naombeni ushairu wenu. Kwanza kabisa ningependa kujua:
1) Hesabu ya Uber kwa siku ni shilingi ngapi..?
2) Na kama Dereva ananiletea pesa wa week ni kiasi gani..?
3) Je ni biashara yenye usumbufu au ..?

Naombeni ushauri wenu.
Asanteni.
 
biashara ya uber kwa kiasi flani inalipa mkuu,
cha muhimu upate gari ndogo (saloon car)
yenye cc (engine capacity) chini ya 1300 na iwe kuanzia mwaka 2003 na kuendelea (gari ya mwaka 2002 hawakubali kukusajili)
hesabu kwa siku ni 35,000/
35,000*7
cha muhimu upate dereva anayejua maana ya maisha (majukumu) hii itasaidia kuthamini na kuipenda kazi yake.
 
Nimekupata ndugu na asante kwa ushauri. Japo nilidhani nikiwa na gari tatu basi ningeweza pata 1M kwa week..! Kumbe ni ngumu pia.!
 
Nimekupata ndugu na asante kwa ushauri. Japo nilidhani nikiwa na gari tatu basi ningeweza pata 1M kwa week..! Kumbe ni ngumu pia.!
Alichosema mdau hapo juu ni sahihi.

Ila naongezea hii.

Muache dereva wako alale na gari usiku kuna abiria wengi kuliko mchana.
 
Sasa kama Dereva analala na gari means atafanya kazi 24hrs. Maana madereva wengine wanaweza wapa watu wengine gari usiku mpaka saa 10 yeye akiwa amelala. Asubuhi yeye anaingia kazi.! Sasa kwa hesabu hiyo si itakuwa ndogo au unasemaje ndugu.
 
Nafikiri jambo bora ni kumuacha dereva awe huru na gari,bcoz maderva wengine wana wateja wao wa kudumu hivyo anaweza fanya kazi vizuri.
Kuna jamaa wangu amemuachia dereva kwa siku anaendesha kama km 168,sa wajuzi sijui atakuwa anakesha au la. Ila jamaa amepata dereva muaminifu..Hesabu kwa siku ni 30000/-. Kama utampa target kubwa ndo anaweza fikiria kutafuta deiwaka but hesabu ya 30 ni reasonable. But another option ni kumpa mkataba then baada ya muda gari iwe yake..
 
OFA! SAFIRI BURE SASA. Download app ya uber, ingiza promotion code ya ubertz05 ili katika safari yako ya kwanza upate punguzo la tsh 6200 OFA! SAFIRI BURE SASA. Download app ya uber, ingiza promotion code ya ubertz05 ili katika safari yako ya kwanza upate punguzo la tsh 6200
 
Habari wapendwa. Mimi ni mdada nina gari yangu aina ya Spacio new model (2002) nataka nijisajili nifanye Uber mwenyewe full time morning to night. (Dereva mimi mwenyewe)

Naombeni ushauri wenu juu ya hili suala.

Je process za kujisajili ni zipi?

Mahesabu kwa siku naweza kutoka na sh ngapi?

Thanks in advance
 
Reactions: y-n
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…