Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Uber utapiga tu haina shida.

Isajili uber,tra,plate no nyeupe,
Leseni class 3,2,1 au kavu

Kwa ujanja ujanja unaweza usiipe rangi nyeupe plate no,ukatumia yellow,hapo hata D unaendeshea
 
Duuh utajaza mafisi, ila pia utapeleka mabachala makwao saa tano usk na kuendelea
 
Ukikamilisha hizo taratibu walizokupa wadau hapo juu niambie niwe mteja wako
 
Biashara imeshaharibika... Bei zimeshuka sana sababu ya ushindan wa makampuni... Imagine ubungo had morocco buku 5.... Hata bodaboda haend kwa hyo bei... Achia mbali bajaj... Kupanga ni kuchagua.. Ila utakumbuka maneno yangu.. Ingia ili uone mwenyewe
 
Fikiria Mambo mengine. Hilo liache kwanza. !!
 
Mdada uber sio biashara ni parttime job ya kawaida, ni kama mtu unatoka kigamboni unaenda mlimani city kuliko uende long way bila faida unaweka uber on upate abiria u save hela ya mafuta, Lakini Tz ajira hazitoshi tunaona bora tutumie uber kama kazi goodluck mkuu in fact by uber u can make up to $200/mth hapa Tz lakini majuu madereva wa uber wanapata hadi $2000-3000/mth pia usisahau kutoa 20% yao
 
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…