Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuanzia 2000Nasikia wanasajili gari za kuanzia 2013
Duuh utajaza mafisi, ila pia utapeleka mabachala makwao saa tano usk na kuendeleaHabari wapendwa. Mimi ni mdada nina gari yangu aina ya Spacio new model (2002) nataka nijisajili nifanye Uber mwenyewe full time morning to night. (Dereva mimi mwenyewe)
Naombeni ushauri wenu juu ya hili suala.
Je process za kujisajili ni zipi?
Mahesabu kwa siku naweza kutoka na sh ngapi?
Thanks in advance
KaribuNitakuwa mteja wako!
Sawa broUkikamilisha hizo taratibu walizokupa wadau hapo juu niambie niwe mteja wako
Ngoja nijaribu utamu wa ngoma ni kuingia na kuchezaBiashara imeshaharibika... Bei zimeshuka sana sababu ya ushindan wa makampuni... Imagine ubungo had morocco buku 5.... Hata bodaboda haend kwa hyo bei... Achia mbali bajaj... Kupanga ni kuchagua.. Ila utakumbuka maneno yangu.. Ingia ili uone mwenyewe
Fikiria Mambo mengine. Hilo liache kwanza. !!Habari wapendwa. Mimi ni mdada nina gari yangu aina ya Spacio new model (2002) nataka nijisajili nifanye Uber mwenyewe full time morning to night. (Dereva mimi mwenyewe)
Naombeni ushauri wenu juu ya hili suala.
Je process za kujisajili ni zipi?
Mahesabu kwa siku naweza kutoka na sh ngapi?
Thanks in advance
Ingekua hailipi watu wasingeendelea kufanya..try your chances..tena unganisha na taxifyNgoja nijaribu utamu wa ngoma ni kuingia na kucheza
SureIngekua hailipi watu wasingeendelea kufanya..try your chances..tena unganisha na taxify
AsanteMdada uber sio biashara ni parttime job ya kawaida, ni kama mtu unatoka kigamboni unaenda mlimani city kuliko uende long way bila faida unaweka uber on upate abiria u save hela ya mafuta, Lakini Tz ajira hazitoshi tunaona bora tutumie uber kama kazi goodluck mkuu in fact by uber u can make up to $200/mth hapa Tz lakini majuu madereva wa uber wanapata hadi $2000-3000/mth pia usisahau kutoa 20% yao